Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaa!! Huyu bwana mdogo mbona anamachungu hivi!?

Siamini, picha tu ya Westlands inakufanya ulie na kukasirika kiasi hicho!!! Daah.
Ndio hii rudia kuona vizuri.
BMW M3 na Ferrari Spyder za Carl Flash Tundo. Mwendeshaji wa Rally Cars in Kenya.
View attachment 2788531
mazafanta hizo plate no ni shida kuonekana si ndio
 
394339827_823501693109928_5252148491988608013_n.jpg
Kumbe ile safari ilikua ya kutembeza bakuli la sgr
 
Enda ground ukikosa wakenya na wamehire mashamba, na kununua na kusafirisha ukam useme hapa, huko tunawauzia hadi alot of agroproducts, I knw what I'm saying. Si watanzania wanajituma kuleta mzigo kenya Bali kenyans taking themselves to source and transport back to kenya.
Toa upuuzi hapa,mlishaoigwa Pini kwenda kununua mazao directly Kwa mkulima ,ni aidha ushirikiane na company za Watanzania au ukanunue kwenye secondary market.

Hakuna kwenda shamba kulima au vinginevyo.

Mwisho Tanzania Truckers ndio tunaingoza east and central Afrika na Watanzania ndio exporters,Wakenya ni wachache.
 
Back
Top Bottom