Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan Statehouse is among the best designed Statehouses in the world
20231021_193926-jpg.2788539

View attachment 2788544View attachment 2788545
We ng'ombe mgonjwa kweli 😂😂😂😂
 
Enda ground ukikosa wakenya na wamehire mashamba, na kununua na kusafirisha ukam useme hapa, huko tunawauzia hadi alot of agroproducts, I knw what I'm saying. Si watanzania wanajituma kuleta mzigo kenya Bali kenyans taking themselves to source and transport back to kenya.
Hayo mashamba ya wakenya ni yapi? Wanalima mkoa gani?
 
Ground ni wapi!
Niko Tanzania.
Watu wangu wa karibu ni wakulima wa hizo viazi.
You know what you're saying na unaandika maneno matupu hapa.
Sishangai ukiniambia hata vitunguu vya Mangola ni nyie ndo mnalima.
Wakundustan kwa kujiliwaza hawajambo 😂😂😂😂 walipigwa marufuku wasiingie hata shambani kununua tu kwa wa kulima ndio itakua kumiliki shamba? Waliambiwa wabaki Kenya wasubiri waletewe mazao kwao, naitafuta hiyo video nitaileta
 
Watz kweli nyie mazuzu. Wewe huoni hapo mnachekelewa!? Huoni hilo bezo!? Maanake ni 'daah, yaani Tz ndio hizi tu wanaweza afford?'
We keep encouraging our junior brothers to up their game.
Kaandika kikikuyu hapo kwamba hatuelewi? Soma comments
 
Hawa jamaa naomba nianzishe petition humu wanyang’anywe right ya kuandaa AFCON 2027, hizi ni indications kwamba watatuharibia kabisa mashindano na kuonekana East Africans ni watu wa hovyo, on a serious note Mwenyekiti ichoboy01 naomba ruhusa yako niandae hiyo petition tuikimbize CAF before it’s too late, bora hata wapewe Burundi sio hizi ng’ombe. Tutapigwa collective ban na FIFA kuandaa mashindano mengine tusipoangalia. Dah….!!
 
i support u on this! kabla Talanta international stadium haija-collapse na kuua watu!
 
Hawa jamaa naomba nianzishe petition humu wanyang’anywe right ya kuandaa AFCON 2027, hizi ni indications kwamba watatuharibia kabisa mashindano na kuonekana East Africans ni watu wa hovyo, on a serious note Mwenyekiti ichoboy01 naomba ruhusa yako niandae hiyo petition tuikimbize CAF before it’s too late, bora hata wapewe Burundi sio hizi ng’ombe. Tutapigwa collective ban na FIFA kuandaa mashindano mengine tusipoangalia. Dah….!!
Go on nimekupa ruksa na niko tayar kuku support na wote tutaku support 😅😅😅

Kwa hali niliona kericho green stadium nimeinua miguu aloooo
 
Wakundustan kwa kujiliwaza hawajambo 😂😂😂😂 walipigwa marufuku wasiingie hata shambani kununua tu kwa wa kulima ndio itakua kumiliki shamba? Waliambiwa wabaki Kenya wasubiri waletewe mazao kwao, naitafuta hiyo video nitaileta
Wakunyavuzi hawataki kukubali ubora wetu ndio maana kila kwenye mafanikio yetu uwa wanajipenyeza,walivyo wajinga wanajua chakula tunawauzia wao tu,githeri na chang'aa zimewaharibu akili
 
Back
Top Bottom