Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halaf wakuu zile gari walizokua wanapost jana wakidai zakwao ndio hiz hapa, kiufupi ni za kukodi kwaajili ya kupiga round na kupiga picha halaf zinarud kwao shwaa..😅
Screenshot_20231022-081756.jpg

Screenshot_20231022-082327~2.jpg
 
Ilisaidia Utalii kurudi na ilisaidia kupata pesa Til.1 ambazo zimeleta Mageuzi makubwa kwenye Afya,maji,Elimu na masoko.

View: https://twitter.com/BusesDaily/status/1716001396225425663?t=HcOHr8ei4FndZWaCEzUfUg&s=19

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hzo pesa mumepewa bure au ni mkopo wa covid ?? Kama bure basi amefanikiwa lakini kama mkopo ni holaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hzo pesa mumepewa bure au ni mkopo wa covid ?? Kama bure basi amefanikiwa lakini kama mkopo ni holaa
Mkopo ambao hauna riba na tulichukua specifically kabisa Kwa Ajili ya ku harmonise na Nchi zingine Ili interactions ziendelee.

Pili tulichukua Kwa Ajili ya kuongeza forex reserves ya Nchi.
 
Mkopo ambao hauna riba na tulichukua specifically kabisa Kwa Ajili ya ku harmonise na Nchi zingine Ili interactions ziendelee.

Pili tulichukua Kwa Ajili ya kuongeza forex reserves ya Nchi.
Ukipata ushahidi kua hauna riba nitag plz naomba unioneshe kua mulipata mkopo hauna riba nijifunze kitu plz 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukipata ushahidi kua hauna riba nitag plz naomba unioneshe kua mulipata mkopo hauna riba nijifunze kitu plz 🤣🤣🤣🤣🤣
Serikali ilishaeleza mar nyingi san kwamba riba ilifutwa na utalipwa baada ya miaka 30 pesa kama pesa.
 
Back
Top Bottom