Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I don't own Tanzania Abroad TV. It's by Tanzanians for Tanzanians. Hizi povu zako elekeza kwao
Hiyo Abroad Tv ilifanya uchunguzi wapi ikagundua kenya iko juu ya Tz kwenye clean water, yani wewe unaamini kabisa kenya inaikaribia Tz kwenye service ya clean water? Utakuwa mwehu wewe. Nyie ziwa Victoria tu mnashindwa kukitumia ku provide maji kwa wananchi wenu, sisi tuna miradi kibao ya kutoa maji ziwa Victoria kupeleka mikoa yote inayozunguka ziwa Victoria na inaenda mpaka Dodoma. Nairobi tu hakuna maji, watu wanaamka saa tisa usiku kupanga foleni ya maji, mambo ambayo sisi tuliachana nayo kitambo. Kwenye suala la clean water usiguse kabisa utaumia.
 
Akiltea source inayoeleweka ww nitag tu bro alaf nitakuonesha kitu hawapendi kuwaonesha humu ndani😁
 
Hiyo Abroad Tv ilifanya uchunguzi wapi ikagundua kenya iko juu ya Tz kwenye clean water, yani wewe unaamini kabisa kenya inaikaribia Tz kwenye service ya clean water? Utakuwa mwehu wewe. Nyie ziwa Victoria tu mnashindwa kukitumia ku provide maji kwa wananchi wenu, sisi tuna miradi kibao ya kutoa maji ziwa Victoria kupeleka mikoa yote inayozunguka ziwa Victoria na inaenda mpaka Dodoma. Nairobi tu hakuna maji, watu wanaamka saa tisa usiku kupanga foleni ya maji, mambo ambayo sisi tuliachana nayo kitambo. Kwenye suala la clean water usiguse kabisa utaumia.
'Nairobi hakuna maji' and at the same time 'wanaamka usiku kupanga foleni ya maji'!! 😆😆😆

Utapangaje foleni kwa kitu ambacho haipo?

Desperation can't get better than this
 
Back
Top Bottom