Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kagera? seriously? Wanaenda kupoteza fedha! Mbona isiwe Mbeya au Arusha?
Kutakuwa kuna uhitaji wa nyumba kwa research walizozifanya na wana vigezo vyao.

Halafu hawawategemei wenyeji ambao wako huko kuna watu wako nje ya mkoa wao wanahitaji nyumba za kununua na kupangisha na pesa wanayo.

Kumbuka nyumba zao zote za NHC zilizopo Bukoba mjini zote zina wapangaji (zimejaa),hivyo wameona kuna uhitaji.

Arusha na Mbeya na Kilimanjaro bila shaka ziko kwenye mpango huo.Tusubiri tutapewa majibu.
 
Aaawapi uwanja wa ndege wa Bukoba upo underutilized mwaka wa 10 huu pamoja na majigambo ya jamaa wa kule! Yaani hizo nyumba zingejengwa hata Moshi au Iringa towns! Another Chato project!
 
Isaka station inabidi iwe kubwa kuliko stations zote sababu ndio junction ya routes zote za SGR zinazojengwa
Fb4N9SjXEAAzdtf.jpeg
 
enway. tu sahau yaliyo pita. tugange yajayo. yaliyo ndwele sipite

👇🏽
RAILA FOR PRESIDENT 2027.!
 
Aaawapi uwanja wa ndege wa Bukoba upo underutilized mwaka wa 10 huu pamoja na majigambo ya jamaa wa kule! Yaani hizo nyumba zingejengwa hata Moshi au Iringa towns! Another Chato project!
Ngoja tuone mkuu.
 
Continue dreaming about Kenya 👏👏
Nani wa dream sasa? Media zinareport matukio yanayoendelea Kenya kama yanavyoripotiwa kwenye mataifa mengine lakini hakuna domestic topics from regular Tanzanians about Kenya ndio maana baada ya masaa matatu huoni hiyo trendy anymore, halafu twitter kuna Watanzania kiduchu sana, Ukiwa trendy on tweets kwa Tanzania upo trendy kwa only 20% of Tanzania's online community, wengi wapo instagram, fb, tiktok
 
Really 😂😂

Back
Top Bottom