ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,244
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimekwambia loss ya tanzania each year inapungua na huu ndio ushahidi nioneshe loss yenu ikipungua nikuoneshe kenge anaekata vibuno kama zuchu 👇👇👇 nimechukua kwenye report uliopostTukisema hamujui kinachoendelea ndani ya nchi yenu na baadaye mnakuwa obsessed na masuala ya Kenya mnadhani hatuijui tunachosema. Sasa si hata wewe unaona hujui yanayofanyika ndani ya nchi yenu ilhali unajua how much KQ is making in losses?
Bongolala, ni wapi ulisoma kwamba ATCL ilipunguza hasara kwa karibia 50%? Can you prove these claims from a reliable source?
According to your country's Controller and Auditor General's
report, ATCL reduced losses by a paltry TSH 900 Million from TSH 36.1b to TSH 35.2b. Does that represent 50% as you imply?
Secondly, ATCL's losses were largely atributted to flight delays ( up to 25% flight delays). Yes you heard me right, 25% flight delays!!! Yani shirika lenu halijui kukeep time. Wewe nawe hapa unatuambia kwamba losses zilitokana na madeni za kitambo which is flatly wrong according to that report.
![]()
Air Tanzania records a loss in the billions despite the growth in the country’s aviation sector
According to the Controller and Auditor Generals report for 2021/2022, Air Tanzania Company Limited (ATCL) lost Sh35africa.businessinsider.com
Danganya watanganyika wenzako, si mtu kama mimi
Hii sasa hadi graph zitachimba mafuta huko Chini 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimekwambia loss ya tanzania each year inapungua na huu ndio ushahidi nioneshe loss yenu ikipungua nikuoneshe kenge anaekata vibuno kama zuchu 👇👇👇 nimechukua kwenye report uliopost
View attachment 2736316
And for ur information hii ni report ya 2021/2022 sasa subiri report ya 2022/2023 alaf nioneshe loss imeongezeka au imepungua 🤣🤣🤣🤣
Yani ww uijue tanzania kuliko mm are u serious?? Kabisa unaoanua fuvu kua ww uijue tz kuliko mm😅😅😅😅😅
Na usitumie hasira hii ni report ya kq mwaka huu in just 6 months loss nikubwa kuliko loss iliotengezwa mwaka jana mzima 👇👇👇
View attachment 2736320
Ww unapost report ya 2021/2022 kwann hutafuti ya 2023 sasa ngoja nikuoneshe kitu uelewe 😅😅😅😅😅 na usipoelewa hapa, hutaelewa maisha yako yote mark my wordsTukisema hamujui kinachoendelea ndani ya nchi yenu na baadaye mnakuwa obsessed na masuala ya Kenya mnadhani hatuijui tunachosema. Sasa si hata wewe unaona hujui yanayofanyika ndani ya nchi yenu ilhali unajua how much KQ is making in losses?
Bongolala, ni wapi ulisoma kwamba ATCL ilipunguza hasara kwa karibia 50%? Can you prove these claims from a reliable source?
According to your country's Controller and Auditor General's
report, ATCL reduced losses by a paltry TSH 900 Million from TSH 36.1b to TSH 35.2b. Does that represent 50% as you imply?
Secondly, ATCL's losses were largely atributted to flight delays ( up to 25% flight delays). Yes you heard me right, 25% flight delays!!! Yani shirika lenu halijui kukeep time. Wewe nawe hapa unatuambia kwamba losses zilitokana na madeni za kitambo which is flatly wrong according to that report.
![]()
Air Tanzania records a loss in the billions despite the growth in the country’s aviation sector
According to the Controller and Auditor Generals report for 2021/2022, Air Tanzania Company Limited (ATCL) lost Sh35africa.businessinsider.com
Danganya watanganyika wenzako, si mtu kama mimi
maji yashapatikana tayari 😅😅😅 wanaendelea kuchimba kuangalia kama watapata mafuta au gasHii sasa hadi graph zitachimba mafuta huko Chini 😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimekwambia loss ya tanzania each year inapungua na huu ndio ushahidi nioneshe loss yenu ikipungua nikuoneshe kenge anaekata vibuno kama zuchu 👇👇👇 nimechukua kwenye report uliopost
View attachment 2736316
And for ur information hii ni report ya 2021/2022 sasa subiri report ya 2022/2023 alaf nioneshe loss imeongezeka au imepungua 🤣🤣🤣🤣
Yani ww uijue tanzania kuliko mm are u serious?? Kabisa unapanua fuvu kua ww uijue tz kuliko mm😅😅😅😅😅
Na usitumie hasira hii ni report ya kq mwaka huu in just 6 months loss nikubwa kuliko loss iliotengezwa mwaka jana mzima 👇👇👇
View attachment 2736320
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1696757137723331002?t=u4Q5uWjRAgWFKUpcyq36vg&s=19
🤣🤣🤣🤣🤣 ndege 20 za kukodi na ndege 17 za mkopo na loan za ndege ni balaaWarudishe tuu ndege za watu zitawaua kwa hasara. Kila mara government bailout ni mzigo kwa Taifa.
Na hizo ndege zao 3 chakavu zote ni Embrael E90 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndege 20 za kukodi na ndege 17 za mkopo na loan za ndege ni balaa
Wao wana ndege 3 chakavu vimechoka hatari alaf wako hapa kushindana na tanzania
Hawana Bundle leo weekend wengi wanaodandia Wi-Fi ya kwenye kibarua hawawezi ofisi zimefungwa😂😂😂😂Makenya yamekimbia 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa sijui wana maisha gani aisee, yani wapo kuzimu kabisa. Mkenya na Wi-Fi ni kama chanda na pete, alafu Wi-Fi yenyewe ya kudandia, yupo ladhi akae seem ata masaa sita akidandia Wi-Fi aisee. Jamaa wako nyuma kwakweli, wana maisha magumu sana, hata mavazi yao au nyumba wanazoishi ukiangalia ni kizamani mnooo. Ndio maana huwa nasema wakenya hawatoenda motoni mana moto tayari wanaupitia hapa duniani.Hawana Bundle leo weekend wengi wanaodandia Wi-Fi ya kwenye kibarua hawawezi ofisi zimefungwa😂😂😂😂
Muda wote munawapeleka moto wataachaje kuchanja mbuga kama nyumbu 😅😅😅Makenya yamekimbia 🤣🤣🤣🤣🤣
Huona aibu wakati mwingine!Vp hawajasema kuwa ni mitumba maake tukinunua sisi huwa ni mitumba ila wao hununua new brand