Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Source ni ipi leta source ???? Na ukipata nitag mm 😅😅😅😅 kazi yenu kudanganywa na kujidanganya nothing else another slum was discovered

View: https://twitter.com/LadyVivienneTaa/status/1122593266220896257?t=1egn8FRWDTXrltUr4PjFrw&s=19

Akuletee link
nje ya nairobi wapi wakat maji yenyewe hakuna 😅😅😅😅
[URL unfurl="true"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani nyinyi machizi wa kwenda tafuta project hata moja ya maji inayoendelea nairobi au mombasa nicheke mpaka asbh yani kwenye suala la maji achana nalo na huwez pata hio source huwez never ever 🤣🤣🤣🤣
Hii habari ya shida ya maji ni ya mwaka jana kipindi cha kiangazi kikali ila hiyo x account imepost kuwa ni leo.

View: https://x.com/abroadtanzania/status/1698226451022324141?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Hiyo page huwa inatafuta engagement kwa kupost pumba, si unajua siku hizi x watu wanalipwa kwa engagement. 😂😂😂
Habari yenyewe ameitoa hapa. Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini
 
Bongolala, maji yanayotumika Nairobi comes all the way from Ndaka
ini Dam in Murang'a county, some 60 kms away. If you want to see a dam project within Nairobi boundaries hiyo utangoja sana
Maji yako wapi mzee wakat tuliofika nairobi tunaijua maji hakuna yani kitu kinachoisumbua nairobi ni maji na hio dunia nzima inaijua, mombasa iko near ocean na haina maji kabisa 🤣🤣🤣🤣 wachilia mbali kisumu ndio vituko kabisa

Dodoma na tabora iko over 500k and 350km from mwanza na wanapata maji kutoka lake victoria 👇👇👇👇

View: https://youtu.be/9O3k_jof71Y?si=bOqrqPwpae29GGAo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani nyinyi machizi wa kwenda tafuta project hata moja ya maji inayoendelea nairobi au mombasa nicheke mpaka asbh yani kwenye suala la maji achana nalo na huwez pata hio source huwez never ever 🤣🤣🤣🤣
Bongolala, nishakuambia kwamba maji yanayotumika Nairobi yanayoka nje ya mipaka ya Nairobi. Au ni miradi gani ya maji unatoka kuona
 
Akuletee link

Hii habari ya shida ya maji ni ya mwaka jana kipindi cha kiangazi kikali ila hiyo x account imepost kuwa ni leo.

View: https://x.com/abroadtanzania/status/1698226451022324141?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Hiyo page huwa inatafuta engagement kwa kupost pumba, si unajua siku hizi x watu wanalipwa kwa engagement. 😂😂😂
Habari yenyewe ameitoa hapa. Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini

Hawezi kupata source mpaka anakufa eti naorobi ishinde tanzania kwenye clean water nimecheka sana leo alaf wanajua kua hawana maji lakini wanashangilia 😅😅😅😅
 
Bongolala, nishakuambia kwamba maji yanayotumika Nairobi yanayoka nje ya mipaka ya Nairobi. Au ni miradi gani ya maji unatoka kuona
Sasa yanatoka wapi wakat CBD haina maji yanatoka kwenye invisible pipes au ?? Au maji ya napita kwenye waves kama wifi?? Au yanakuja kwa njia ya bluetooth na infrared?? 😅😅😅
 
Hawezi kupata source mpaka anakufa eti naorobi ishinde tanzania kwenye clean water nimecheka sana leo alaf wanajua kua hawana maji lakini wanashangilia 😅😅😅😅
Kama tu Rais wao ni muongo muongo, unategemea hawa kajamba nani wasiwe waongo! 😂😂😂
Maji ya Ziwa Victoria wameshindwa kuyavuta ndo watushinde eti.
 
Sasa yanatoka wapi wakat CBD haina maji yanatoka kwenye invisible pipes au ?? Au maji ya napita kwenye waves kama wifi?? Au yanakuja kwa njia ya bluetooth na infrared?? 😅😅😅
Wewe ni mjinga wa kupindukia. Hii yako ni hereditary actually. Didn't you see where I mentioned that Nairobi's water comes from Ndakaini Dam in Murang'a county?
 
Wabongo mna vichekesho 🤣 🤣 🤣

Do you have any proof?
Hujaweka the land cost ya hilo jengo Tanzania inakua ndio big shareholder

Screenshot_20230903-134601.jpg
 
Wewe ni mjinga wa kupindukia. Hii yako ni hereditary actually. Didn't you see where I mentioned that Nairobi's water comes from Ndakaini Dam in Murang'a county?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mukiambiwa ukweli mtu kashakua mjinga nimekuomba official source umebakia kuruka ruka tu

Yani kenya ishinde tanzania kwenye suala la maji manyuziii😁😁😁😁😁

Ikiwa nairobi haina maji na haina miradi ya maji unaeza ongea nn mbelr yangu chizi wewe nilikwambia hii sio nairaland kazi kuwadanganya wa nigeria hapa tanzania tukisimama tunaona chupi zenu mulizoanika
 
Back
Top Bottom