ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naomba ile picha ya wakenya wakinywa maji ya tope mkuu tuwakumbushe hali yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna ile nyingine mtu kainama anakunywa maji sijui ya mtaroni yale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Serikali hii inafuata maelekezo kutoka kwa globalists, ambao ndiyo wamiliki wa hizi GMO. Hizi GMO zinaleta kansa, unene kwa watoto, magojwa ya moyo, zinapunguza kinga ya asili, kisukari, kiufupi si nzuri kiafya.
Bongolala elekeza hasira na povu zako hapa
View: https://twitter.com/AbroadTanzania/status/1697943541224476815?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1697943541224476815%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
It's your own TV station so hayo maswali waulize wao
Hii kitu hawawez kuwaonesha 😅😅😅😅
View: https://twitter.com/TonyMurega/status/1696524023558242546?t=Ibd3DJD31VrTBJ55xd4ivQ&s=19
Hehehe
Ninayo maktaba nimeijenga mahususi sababu ya kushughulika na hawa makonokono, ya nafikiri kuna mafala ya kuwapanga humu 🤣🤣🤣 hawajui tuna kila supportive attachment ya kuwavua nguo 😂😂Kuna ile nyingine mtu kainama anakunywa maji sijui ya mtaroni yale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni sababu ninyi hamna magari ya kusafiria abiria kama sisi, ninyi mna hii miskrepa 🤣🤣🤣Sijui mbona Watz huona kupost magari kama kitu cha ajab!!! Ushamba huwa tunyamazia ju ni fala.
View attachment 2738080
View attachment 2738082
Nice edit.Ni sababu ninyi hamna magari ya kusafiria abiria kama sisi, ninyi mna hii miskrepa 🤣🤣🤣
View attachment 2738223View attachment 2738224
Haya mambo ni ya mwaka gani? 😂😂😂Hehehe
There is no African country without these types of images. Kama mnashare picha kama hizi to run away from reality mko na shida. Ndio hizi z Tanzania.
![]()
![]()
![]()
![]()