much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,548
Huwa nafurahia jinsi vitu ndogondogo zinawashtua nyie wabongo. Sector ya internet tuko mbali saaana na nyinyi. Yeyote aliyetembelea nchi yoyote ya Africa alafu akaja Kenya atakueleza jinsi tuko mbele mambo ya internet. Yani hata bundle hatuziongelei sisi. Huwa nasikia tu mkilia humu eti bundle bundle, Huku 70% ya nyumba mjini zina WiFi. Ushagoo pia WiFi imeingia kwa kasi sana. Yani nikiskia mkiongelea Wifi huwa nacheka sana. 🤣
Msikize mbongo mwenzako anavyoongelea internet ya Kenya pale 7:03
View: https://www.youtube.com/watch?v=nBD0DnYEzn8
Kwaiyo Kenya internet ni bure?