Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwenye kupigwa risasi na kuuliwa na polisi hovyo pia wametushinda, ukipenda boga upende na maua yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani wamefikia kuuwana kwenye maandamano?

Labda waliopigwa risasi ni wezi au majambazi. Maana nasikia huko, Wakenya wengine wanafanya maandamano wengine wanaiba.
 
Kumbe hizi mambo Kenya ni mashikoro mageni? Akyamungu hawa ndio wanasema nchi yao ni ICT hub? Nimeshtuka sana
Kaka kenya kuna project za kifurahisha wazungu tu, sio kubadilisha maisha ya mtu mmoja mmoja! Kuna startups kibao ila zote ni wanaiga mambo ya kizungu ndo maana wanafeli.

Nakupa mfano hapa bongo kuna kampuni ngapi za wazawa zinashindana na uber/bolt. Kenya wana ngapi??
Halafu uzuri wake watu wanaendesha huu ubunifu ni vijana wazawa!!

Hawatuwezi hata chembe hawa nyang'au, basi tu!!
 
Nchi za Kiafrika ziangalie uwezekano wa kufanyia kazi hii kama Ina manufaa maana isijekuwa imedizainiwa kuwarahisishia Wachina unyonyaji wao
 
Boss, only 17 heads of state attended the summit, idadi ndogo Sana ukilinganisha na mkutano uliopita. Yote ni sababu Russia kuzuia ngano ktoka Ukraine kufika Africa.
This is a shame for Africans to depend on European countries for agriculture products, remember European countries are not agricultural economies like African countries, why you think "Ngano" from Ukraine and Russia should be an issue for Africa?, huu ni ujinga kwa waafrika, na wewe unadhani ni jambo la maana Kama kweli hiyo ndio sababu, ila sidhani Kama hiyo ndio sababu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Local fabrication
FB_IMG_16904761603644758.jpg
FB_IMG_16904762045392382.jpg
FB_IMG_16904762366691014.jpg
FB_IMG_16904763411704095.jpg
 
Back
Top Bottom