ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
TPDF HQ Dodoma
Hatujawahi kuwazidi kwenye jambo lolote lisilo husisha akili, wako mbele daima kwenye nyanja zote za upumbavu.Watanzania msitake kubisha hili, sasa hivi Wakenya, hapo Nairobi wametuzidi sana kwenye suala la maandamano.
more than actually.Billion 31 serious??😅😅 alooo
Upigaji hakuna hapo, na gharama ni zaidi ya 31 billion.hapa naona kuna upigaji! kwahiyo hapo ulipo hauna viwango vya CAF na FIFA?
Viwanja vya shakahola haviwezi kufikia levels hizi za CAF kamweUpigaji hakuna hapo, na gharama ni zaidi ya 31 billion.
1. Lift mbili mpya
2. Viti vyote vya mashabiki kutolewa kuwekwa vipya na vua kisasa zaidi
3. Bench la wachezaji wa akiba kuwekwa la kisasa na viti VIP
4. Mfumo wa taa. Mfumo wa taa uliokuwepo ni taa za kilofa amzo zikizimika hutumia zaidi ya 30mnts kuwaka tena, sasa zzinawekwa mpya na za kisasa na nyingi zitakazowaka kwa sekunde zikizima
5. Screens za matangazo ya Biashara uwanja mzima
6. Two big screen/Mpira na matokeo
7. Mgahawa
Mambo ni mengi kwa kweli na kitakwenda kuwa kiwanja bora sana Africa. Ujenzi utakamilika next year July, nafikiri waona ni ukarabati wa nguvu mno.

Huu mkataba unakuwaje? Watu walipiga chao?Upigaji hakuna hapo, na gharama ni zaidi ya 31 billion.
1. Lift mbili mpya
2. Viti vyote vya mashabiki kutolewa kuwekwa vipya na vua kisasa zaidi
3. Bench la wachezaji wa akiba kuwekwa la kisasa na viti VIP
4. Mfumo wa taa. Mfumo wa taa uliokuwepo ni taa za kilofa amzo zikizimika hutumia zaidi ya 30mnts kuwaka tena, sasa zzinawekwa mpya na za kisasa na nyingi zitakazowaka kwa sekunde zikizima
5. Screens za matangazo ya Biashara uwanja mzima
6. Two big screen/Mpira na matokeo
7. Mgahawa
Mambo ni mengi kwa kweli na kitakwenda kuwa kiwanja bora sana Africa. Ujenzi utakamilika next year July, nafikiri waona ni ukarabati wa nguvu mno.
Hao wawakilishi hakuna trade deals/policies yeyote wanaweza funga na Putin, wako hapo kuongeza idadi. Russia account only 1% of foreign investment in Africa, huo mkutano ni more political na waafrika tushaamka.Sababu ya kuzuia ngano unaijua lakini au unaongelea puani tu??😅😅😅 kama hujui uliza kwanza 17 hao ni presidents ila wawakilishi wamekwenda wa nchi jumla 49 na tanzania ameeda waziri mkuu kwenu ameenda nani??
Nyayo stadium inakila kitu hapo. Levels za CAF ni azam complex🤣🤣Viwanja vya shakahola haviwezi kufikia levels hizi za CAF kamwe![]()
Shakahola hawawezi tia mpunga kama huo kwaajili ya michezo only big economies do.Huu mkataba unakuwaje? Watu walipiga chao?
Mbona mechi za CAF zisichezwe hapo Nyayo stadium? Unapoongea jambo uwe unatumia akiliNyayo stadium inakila kitu hapo. Levels za CAF ni azam complex![]()

Uhahahahaha una uhakika ?? Ww ndio huwez ona faida ila watu wenye akili washaona faida tayari 🤣🤣🤣🤣 mbona mulipokea mbolea ya bure kutoka russia why??Kenya haijapeleka rais au wawakilishi kwenye hio summit isio na faida yoyote kwetu
Mechi za CAF zichezwe viwanja vibovu Kama azam, Nyayo ni ya world rugby na athletics.Mbona mechi za CAF zisichezwe hapo Nyayo stadium? Unapoongea jambo uwe unatumia akili![]()
Faida gani wakati investment yao haifiki 1%.Uhahahahaha una uhakika ?? Ww ndio huwez ona faida ila watu wenye akili washaona faida tayari 🤣🤣🤣🤣 mbona mulipokea mbolea ya bure kutoka russia why??
Hii ndio nonsense zaidi
Nimekuuliza una hakika hamujapelekea muakilishi au simple like that 🤣🤣🤣 ndio maana muna ukabila nyinyi kwasababu mumeshiriki ubinafsi mbaya sana hamuna utu kabisa kondooo nyinyiFaida gani wakati investment yao haifiki 1%.
Mbona hamuchezi sasa mechi za CAF?🤣🤣Nyayo stadium inakila kitu hapo. Levels za CAF ni azam complex🤣🤣
Ninyi hamuelewani na majirani zenu wote, hata wenyewe kwa wenyewe hamuelewaniFaida gani wakati investment yao haifiki 1%.