Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The largest roundabout in East Africa.
Rift Valley Kenya. 0.67km
20230727_003414.jpg
20230727_003403.jpg
 
Natofautiana na nyinyi hapo, kwa manufaa ya nchi yetu, ni vyema tusijiingize kabisa kwenye vitanzi vya mikataba hiyo.
Viongozi wetu ndio wanaotuuza mfano huu mkataba wa DP World inafaa tuchukue hoja zinazolalamikiwa na kurekebisha vifungu vya mkataba ili tuepuke shari huko mbeleni maana naona taabu itakayotukuta huko mbele na uwezo wakuwajibisha walioupitisha ikiwa Taifa litaingia hasara hatuna.
 
Kama huo uwekezaji umekuwa ukituletea hasara kila siku kuna umuhimu gani wa kuendelea kuingia hiyo mikataba?
Investment duniani especially kwa third world countries huwa guaranteed na MIGA Multilateral Investment Guarantee a world bank group.

Tanzania like any other country is a signatory to MIGA na MIGA has its own dispute resolution mechanism na sheria zitakazotumika.
 
Viongozi wetu ndio wanaotuuza mfano huu mkataba wa DP World inafaa tuchukue hoja zinazolalamikiwa na kurekebisha vifungu vya mkataba ili tuepuke shari huko mbeleni maana naona taabu itakayotukuta huko mbele na uwezo wakuwajibisha walioupitisha ikiwa Taifa litaingia hasara hatuna.
Bro, hatuna kiongozi hapo, hawa mamuluki tulionao ni mapandikizi tuu ili kutuharibia uchumi wetu. Ukitaka kujua kama kuna kiongozi au la, angalia coverage anayopata kwenye vyombo vya habari kama BBC, kama kuna negative coverage ujue huyo ni kiongozi wetu, zaidi ya hapo ni pandikizi.

Umeona the economist, Guardian na hata BBC wakisema chochote kuhusu serikali hii? Zuhura aliyekuwa mwiba kwa serikali ya Magu BBC, leo hii ndiye mkurugenzi wa habari Ikulu, ndo ujue hapo hatuna kiongozi kaka.
 
Investment duniani especially kwa third world countries huwa guaranteed na MIGA Multilateral Investment Guarantee a world bank group.

Tanzania like any other country is a signatory to MIGA na MIGA has its own dispute resolution mechanism na sheria zitakazotumika.
Unajuwa Nyerere alikataaga haya mambo, baadhi ya watu walimwona mjinga ila sasa yanatutokea puani. kiufupi hawa jamaa siyo wajomba zetu, kamwe hatuwezi kushinda kwenye mahakama zao, sheria hizi hazikuwekwa kwa ajili yetu.
 
Back
Top Bottom