ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nitajie kiongozi alie skip wakat kila ambao hawakuenda wametuma wawakilishi kwa tanzania waziri mkuu kaenda utasemaje wame skip?? Alaf kwann useme mkutano wenye dharau hvi ww unajua hao warusi walikotoka na vita vya kiuchumi walivopitia mpaka leo hii unaona wanaweza tikisa dunia au ww unafkiri huyo mchina tunaemshangilia leo hujui kama nyuma ya technology yuko mrusi??😅😅😅 ukituliza kichwa vzr haya mambo utayajua vyemaViongozi wa Africa walioskip huu mkutano wa kindezi nawapa salute.Ni mkutano wenye dharau kubwa kwa Africa.biashara ya Urusi na Africa ni $14b yeye anaimport not more than $2bil na katika hiyo ni katika mataifa matano au sita yaani Egypt,Algeria,South Africa,Eritia na Sudan.Import yetu kubwa ni Silaha tu halafu tunafunga safari kwenda kwa mtu tunayempa faida ni ujuha wa Hali ya juu sana
Haya mambo yamekuzidi uwezo sana ww usifkiri kwann nchi za kiarabu na nchi zingine za asia pamoja na nchi za africa na south america zinakimbilia brics au unawaona hawana akili hehe huwez kuyajua haya mambo kama bado akili haijapevuka 😁😁😁



