Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,626
Hii ilikua 1970 huko
Hii ilikua 1970 huko
Sababu ya kuzuia ngano unaijua lakini au unaongelea puani tu??😅😅😅 kama hujui uliza kwanza 17 hao ni presidents ila wawakilishi wamekwenda wa nchi jumla 49 na tanzania ameeda waziri mkuu kwenu ameenda nani??Boss, only 17 heads of state attended the summit, idadi ndogo Sana ukilinganisha na mkutano uliopita. Yote ni sababu Russia kuzuia ngano ktoka Ukraine kufika Africa.
![]()
Kremlin blames west for small number of leaders due at Russia-Africa summit
Ukraine war and grain deal exit loom over forum that could be ‘make or break for Putin’ in courting Africawww.theguardian.com
hapa naona kuna upigaji! kwahiyo hapo ulipo hauna viwango vya CAF na FIFA?Billion 31 serious??😅😅 alooo
Kwa kweli hata Mimi imenisikitisha sana maana ukiongeza 19 tuu happ ni uwanja mpyaBillion 31 serious??😅😅 alooo
Tena upigaji wa kwenda sio wa kusimama🤣hapa naona kuna upigaji!
Ni aibu...inasikitisha kuona mpaka sasa bado unasakamwa na kivuli cha ukoloni na pia tunashindwa kukabili nguvu ya globalism.This is a shame for Africans to depend on European countries for agriculture products, remember European countries are not agricultural economies like African countries, why you think "Ngano" from Ukraine and Russia should be an issue for Africa?, huu ni ujinga kwa waafrika, na wewe unadhani ni jambo la maana Kama kweli hiyo ndio sababu, ila sidhani Kama hiyo ndio sababu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Itakuwa Gharama zinagharamia ule wa Zanzibar pia!Tena upigaji wa kwenda sio wa kusimama🤣
Nafikir inabidi wafafanue ni nini wataboresha ili ujue kama kuna upigaji. Lakini kiukweli huo uwanja unahitaji a facelift ya maanaBillion 31 serious??😅😅 alooo
Mbna tupeleke mtu? Tunapata faida gani kutoka urusi?Sababu ya kuzuia ngano unaijua lakini au unaongelea puani tu??kama hujui uliza kwanza 17 hao ni presidents ila wawakilishi wamekwenda wa nchi jumla 49 na tanzania ameeda waziri mkuu kwenu ameenda nani??
Kwann mumepeleka mwakilishi sasa ??🤣🤣 kama hamupati faida kwann mumepeleka mwakilishi mpaka urusi? Acha ujinga wwMbna tupeleke mtu? Tunapata faida gani kutoka urusi?
Kenya haijapeleka rais au wawakilishi kwenye hio summit isio na faida yoyote kwetuKwann mumepeleka mwakilishi sasa ??kama hamupati faida kwann mumepeleka mwakilishi mpaka urusi? Acha ujinga ww
Wakati Nchi nyingine za Afrika zime negotiate kufutiwa Madeni eti Tanzania italetewa Ngano 😁😁Kenya haijapeleka rais au wawakilishi kwenye hio summit isio na faida yoyote kwetu
Hii ndio nonsense zaidiNonsense!
Wewe ndio unaita upuuzi, inasikitisha kwakweli. Kwahiyo kupunguza kiasi cha over $8B kitachogharimu taifa kwa muda usiojulikana na kuturahisishia kulipa hiyo unayodai ni $1B ni upuuzi?kama Magufuli sio? Kuna makesi yatakayoigharimu nchi si chini ya $ 1 bln kutokana na upuuzi wake!