Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
kitu kipya lakini tayari bonyebonye!Roads in Wajir
View attachment 2699852
kitu kipya lakini tayari bonyebonye!Roads in Wajir
View attachment 2699852
Umeua Mbu Kwa risasi..Nyoka kama huyu hawezi kuoshwa kijuakali juakali View attachment 2699759View attachment 2699761
Hawa ndo wanasema Tanzania tuko nyuma 30yrs...cheki tundoo Kwanza[emoji23][emoji23]..Kenya ni makatunist sijawahi ona, hivi mtu kama huyu aoshe treni nzima pekeake atamaliza lini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2699762View attachment 2699763
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ya chini kama anamwagilia mchicha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kabla hata sijaangalia nilijua tu utaonesha haka ka road, sisi tukisema tuweke humu si mtakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini watanzania huwa na Ushamba hatari.
Hiyo ni quality gani!?
Look at the roads in Kenya. Make it even better, Turkana
View attachment 2699847View attachment 2699848View attachment 2699849View attachment 2699851
Sio sukumawiki?hii ya chini kama anamwagilia mchicha 🤣 🤣 🤣 🤣
Dunia haiko huko tena wewe choco.You think you sound smart[emoji205][emoji205][emoji1787]View attachment 2699796
🤪🤪🙄🙄
Nchi yenye demokrasia na Uhuru wa vyombo vya habari[emoji23][emoji23]Global leader in Geothermal energy, soon we will be drilling in Tanzania[emoji1417]
👏 AbsolutelyViongozi wa Africa walioskip huu mkutano wa ndezi nawapa salute.Ni mkutano wenye dharau kubwa kwa Africa.biashara ya Urusi na Africa ni $14b yeye anaimport not more than $2bil na katika hiyo ni katika mataifa matano au sita yaani Egypt,Algeria,South Africa,Eritia na Sudan.Import yetu kubwa ni Silaha tu halafu tunafunga safari kwenda kwa mtu tunayempa faida ni ujuha wa Hali ya juu sana
Mbona hata Ile kesi tuliyoshindwa na kusababishia ndege kukamatwa Kule South Africa ilifanyika Tanzania na tulishindwa?, Sheria ni sheria Dunia nzima.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Natofautiana na nyinyi hapo, kwa manufaa ya nchi yetu, ni vyema tusijiingize kabisa kwenye vitanzi vya mikataba hiyo.So Mimi nadhani ni kutafuta watu competent na wazalendo wanaoweza kuipogania Nchi vizuri tofauti na hapo watachukua pesa Nchi ishindwe.
Kama huo uwekezaji umekuwa ukituletea hasara kila siku kuna umuhimu gani wa kuendelea kuingia hiyo mikataba?Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwekeza millions of dollars halafu akakubali kutumia mahakama zetu! Uliza Rostam atakueleza vizuri!
Usikubali chuki ikutawale kiasi cha kutoona mema yaliotendwa na watu wema na kushindwa kukemea uovu iliofanywa na Kikwete.source ya hii maneno ni JPM na wazalendo wake kuvunja mikataba!
Ukivuliwa nguo chutama.You think you sound smart🐒🐒🤣View attachment 2699796
Tatizo ni sisi wenyewe kutokua makini.Natofautiana na nyinyi hapo, kwa manufaa ya nchi yetu, ni vyema tusijiingize kabisa kwenye vitanzi vya mikataba hiyo.
Tunakosa uzalendo, watu wanaangali cha juu tuu.
Watakuja wafananishe Dodoma na Konza, hawa jamaa ni makatunist kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]