kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Two Rivers vibez! Keeps going!!!
View attachment 2684205
Mji umejaa vichaka…bado sana kufikia Concrete Jungle ya Dar
Two Rivers vibez! Keeps going!!!
View attachment 2684205
wala ni ukosaji wa usimamizi ndo huruhusu utakatashaji wa fedha! Ila ubadilishaji wa fedha ni huduma na inapaswa kuwepo wakati wote!Njia ya kutakatisha/kutorosha pesa.
Unafikiri hawajui kuwa hakutakuwa na usimamizi? Watu walishapewa mwongozo, kula kwa urefu wa kamba yako.wala ni ukosaji wa usimamizi ndo huruhusu utakatashaji wa fedha! Ila ubadilishaji wa fedha ni huduma na inapaswa kuwepo wakati wote!
Aibu, Kwani tule tuviwanja wanavyo post humu havifai!
Wako mbele yetu kwa kila kitu
Sasa unaendeshaje utalii bila ya Bureau de Change? Au unafikiri approach ya Magufull ilikuwa sawa kuzifungia na kudhoofisha mzunguko wa fedha uliokuwa 24 hours a day jiji la Arusha na mji wa Moshi? Hivi unajua katazo lilikuza biashara haramu ya fedha? Katazo kama mnalipenda libaki Kanda ya ziwa!Unafikiri hawajui kuwa hakutakuwa na usimamizi? Watu walishapewa mwongozo, kula kwa urefu wa kamba yako.
🤣🤣🤣🤣 ugali ugali jamani
🤣🤣🤣🤣 acheni waandamane kwa kweliJamaa wame-plan kuzichoma coaches za M-spain nn?
Kwa nini wasiimarishe mifumo wa kutumia mastercard na Visa au hata Unipay kwenye utalii? Na kwenye mahoteli waweke ATM za kutosha ili mtalii aweze kutoa pesa anazo hitaji 24x7Sasa unaendeshaje utalii bila ya Bureau de Change? Au unafikiri approach ya Magufull ilikuwa sawa kuzifungia na kudhoofisha mzunguko wa fedha uliokuwa 24 hours a day jiji la Arusha na mji wa Moshi? Hivi unajua katazo lilikuza biashara haramu ya fedha? Katazo kama mnalipenda libaki Kanda ya ziwa!
Have you been inside those vichaka?… nothing but mansions hidden Inside….tree coverage is an envy of the whole world except Bongolalas….. nobody promotes concrete jungles nomore….. welcome to modernity…Mji umejaa vichaka…bado sana kufikia Concrete Jungle ya Dar
Kwa kubishana na ukweli hatujawahi kuwaweza .. haya Nisha tena 👇Have you been inside those vichaka?… nothing but mansions hidden Inside….tree coverage is an envy of the whole world except Bongolalas….. nobody promotes concrete jungles nomore….. welcome to modernity…
Harudi hapa mpaka kiama




Do you even hear yourself na huu upuuzi unaongea? How did the Kenyan Government become a shareholder without spending taxpayers money to buy planes or aquire shares?GoK is a shareholder at KQ, they earn a lot of money from them. Paying back meagre loan isn't something to complain. But Tanzania buying planes worth billions of dollars for Actl from internal taxes then it flops is a catastrophic mismanagement of taxes