Conference Tourism inarudi kwa kasi sana, maliza kujenga ile Kilimanjaro Conference Centre na pale Dodoma, waweke na moja pale Zenji then the game is ours. Wanaotaka kila siku kwenye KICC au Kigali waende, wanaotaka kuchange weather with a little bit hit na night life ya ukweli after conference waje Dar pale JICC tutawahost, wakitamani dryish na winery environment tupo Dodoma, wakitaka kula pweza na beach cruise after conference tupo, au wakitaka kupasha cha Arusha na hiking au Safari trips kwenye parks zenye majina Makubwa duniani after conference tupo……..kote huku kuna International Airport na watapanda ndege zetu sio za mkopo, na Five Stars Hotel za ukweli. The future is ours to take, kuna pesa ndefu sana hapa tukijipanga.