Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafikiri hii ile sehemu ya kituo cha kujazia mafuta adjacent to British Council kaka,mimi rai yangu pale katikati ya mji tuongeze thamani kdg ya sidewalks tuachane na haya matofali kwenye baadhi ya mitaa
View attachment 2683519
Nimekusoma, sema bado hujanisaidia kaka. Hivyo vyuma na minyororo katikati ya pedestrian sidewalk ni vya nini, shughuli gani, vipo hapo kutimiza nini na kwa gharama zipi, maana ziko nyingi mjini.
 
Arusha
1688127394127.jpg
1000_F_472967043_RPTOU6rwrfpJGwAm99sTXMG5NTEhlLKg(0) (1).jpg
3039410_IMG_2338 (1).jpg
Screenshot_20230610-221949_1.jpg
3038285_E8vvsMGWQAQVjDx (1).jpeg
20230626_170017.jpg
FzjbRfeWcAEdt7L.jpg
🔥🔥🔥 Natuma salamu mombasa nauliza kulikoni.?
 
North of the 3 blue towers… same distance from Downtown Nairobi to Kilimani…ati hii si slums… Mungu Wangu tusamehe tumelewa…. Hii dunia ina watu wanaboa…View attachment 2684087
hehe....don't bother bro...we know the shity slumy uswazi village of dar inside out.....if you take an aerial view of that city then it's clear it's a big shit hole
 
Kwa ground
View attachment 2684119
Dar has to be the most disorganized city in Africa
Nadhani umepost hio picha kwa sababu ya hizo nyumba zakizaman zilizo pembezoni! Ila hizo nyumba ni nyumba zilizoachwa kwakutunza utalii na historia ya jiji la Dar! Hawakushindwa kuvunja hizo nyumba ila ni nyumba ambazo zina miaka zaidi ya 100! Nadhan mamlaka waliomba zihifadhiwe! Kwaio mkiona nyumba kama hizo mjin mjue nikati ya nyumba zilizoachwa kwa dhumun hilo.
 
Back
Top Bottom