7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Hii noma sana.Nawaonea huruma watoto wanaopigwa mabomu ya machozi kisa wazazi wao wanadai ugali kwa meza [emoji22][emoji22]Lakini hii haki iko enshrined kwenye constitution. Kuisha mpaka ugali ukae kwa meza si kitu ingine [emoji16]