Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The GSU
B33D4DCA-1E0B-491A-B04E-6DE5581F2693.jpeg
 
Sielewag majeshi ya kenya.. hawa ni wanajeshi au polisi?
Mtu ajaribu kunipa utafaut wao.. yup ni polisi na yupi ni mwanajeshi
KDF ni kikosi cha jeshi

GSU kikosi cha kupambana na ujambazi, ugaidi na uhalifu mwingine. (Kama sijakosea)

Kuna kingine kinaitwa OSU kimefufuliwa wanasema ni hatari kwa kutesa watu.

Halafu kuna Polisi.

Kwa uelewa wangu.
 
Ndio tunasubiri wakamate tuone sasa 😅😅 kuna moja ilikamatwa uholanzi isharudi unayo taarifa hio ?? Hii mbinu sisi tunaijua vzr sana tutakwenda hvi hvi mpaka mutaizoea air tanzania manake ndio inawanyima usingizi kwa sasa
Hivi ile ndege ilifikaje Uholanzi wakati hatuna route huko?
 
Back
Top Bottom