Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala sina chuki bro vile hujanijua tu vzr najaribu kuweka yale maovu yao ambayo yamejificha nyuma ya pazi kama haki za binaadamu, sijui haki sawa kwa wote etc

Hii dunia leo inaangamia kwasababu yao wao na huu ndio ukweli bro vita vyote ulimwenguni nyuma ya vita ni wao, uchafu wote ulimwenguni nyuma ya uchafu ni wao
Bahat mbaya sana sisi hatupendi kukubaliana na ukweli but ndio ukweli haujifichi
Hii dunia leo inaangamia kwasababu yao wao na huu ndio ukweli bro vita vyote ulimwenguni nyuma ya vita ni wao, uchafu wote ulimwenguni nyuma ya uchafu ni wao
Bahat mbaya sana sisi hatupendi kukubaliana na ukweli but ndio ukweli haujifichi"....




Mkuu, mkuu kauli Kama hizi ni kauli zinazotolewa na watu wenye chuki na wenye uwezo finyu Sana wa kufikiria " out of the box", ndio sababu nikasema " You are too cheap".

Duniani watu wameaminishwa kwamba dini ya kiisilamu ni dini inayoenezwa kwa upanga, ni dini ya mashetani, uchawi, fujo, dini inayowakandamiza na kuminya uhuru na haki za wanawake. Hiyo ndio dhana iliyojengeka duniani kote.

Kwa watu wenye chuki dhidi ya waisilamu na waarabu, wameaminishwa katika hilo na kamwe huwezi kuwatoa huko hata Kama hawana ushahidi wowote, wengi hutumia hoja Kama zako " niamini Mimi", au "huo ndio ukweli japo hutaki kuamini", ukiuliza chimbuko la huo ukweli ni nini?, hawana majibu zaidi ya maneno ya mitaani.

Mkuu, I think you are better than this, hope you still have time to make some changes on the way you think and analyse things without prejudice. stop stereotype.



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
When a country is ruled by one autocratic party ( like CCM) and all information is regulated by government sensors, then it’s hard to tell what’s actually going inside such country…. That’s why their citizens love watching foreign news … they envy their free neighbors….View attachment 2681412
What about a country which is ruled based on ethnicity, tribalism and cartel?. Very primitive and backwardness. People are just killed like flies with no reason just because they demonstrate peaceful.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unaniletea figures za Tanzania against eac nzima na unaclaim mnaenda kudouble trade deficit na kenya. Trade deficit between kenya na Tanzania ni kidogo sana inaishinda ikishift kulingangana na seasons. Hamna siku mtatuuzia mara mbili ya tunachowauzia, labda kwa ndoto. Alafu pitia hio post yako, ulikua unazungumzia kugenerate umeme through geothermal ni very expensive ukilinganisha na hydroelectric nikakuambia ulete figures tuone zimewachana na ngapi
Kunya inaiuzia nini TZ kwa sasa?
 
Umemualika Mathare akajionee kwa macho yake?
Huyo jamaa ukifuatilia content zake ni malaya,hata alipokua TZ alikua na malayq wa kikenya,tour guide wake alikua anamtembeza mitaa ya kijitonyama tu,kkoo alifika na mmarekani mwenzake anaitwa mark meet afrika ambaye anaishi TZ,alipofika kenya jamaa awampeleki uswazi ila siku akifika uswazi ndio atajua hajui
 
Kwa hiyo miaka, Mzizima Tower alone hajaisha, Bureti Traini wala haijatokea, unapata wapi nguvu ya kulinganisha na mradi unaitoshana na uchumi mzima wa Tanzania!?
Mzizima tower ina miaka mingap??😅😅 SGR ina miaka mingap wakat all 6 phase zinajengwa mumebakia kupiga kelele kama vichaa

Taja mradi mmoja wa maana kenya unaojengwa hvi sasa nikuoneshe jogoo mwenye mimba 😅😅
 
Tukisema sisi tunaonekana wabaya 😅😅😅 over 60yrs toka wamepata uhuru mpaka leo hawa ndio watu tulidhani wako sawa na nchi kama thailand au singapore
 
Serikali wajenge bomba la gesi kuanzia mtwara/lindi kuelekea songea,halafu lipite liganga ludewa kwenye mzigo wa chuma.
Halafu toka hapo lielekee mbeya hadi Zambia.

Kama wakipeleka gesi liganga,halafu wakachimba chuma na kuyeyusha palepale kwa Kutumia gesi kama source of energy,halafu kutumia gesi hiohio kwenye kutengeneza bidhaa mbalimbali za chuma kama spea za magari,pikipiki,zana za kilimo,vifaa vya ujenzi ,n.k, basi tutakuwa na viwanda vingi vitakavyoibuka ambavyo vitazalisha bidhaa tofautitofauti za chuma.Kinachotakiwa ni kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha chuma cha liganga kinauzwa nje kama bidhaa kamili iliyoongezwa thamani viwandani.Lakini wakizembea hapo,tutakuwa tunaliongelea suala la viwanda kama ndoto za alinacha wakati kiukweli mungu katupa kila kitu.

nitawashangaa sana kama hawatapitisha bomba la gesi liganga, na hio ni njia fupi kuelekea Zambia. Na nitawashangaa sana kama watang'ang'ania kuuza chuma cha liganga kikiwa ghafi badala ya bidhaa kamili.
Ni wazo zuri sana bila shaka serikali italizingatia hili labda kama sheria zao haziruhusu.
 
Baada ya ku stall muda mrefu i think toka 2010 , Dar Village project inarudi ,plus the investor is Tanzanian
Screenshot_20230708-085244_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom