Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yule Holleman ana matatizo ya akili...anahitaji Masada wa kisaikologia...

Mimi MTU anaeenda nchi Fulani na kukutana na Malaya Tu sio wa kumsikiliza...
Dah! Umenichekesha sana anajiona mjanja! Anajiona anashobokewa kumbe ni Malaya wa Nairobi ndo wanamshobokea.

Kwanza mtu gani anapenda kushobokewa wa wanawake. Eti wanawake ndo waanze kumtongoza,
 
Dah! Umenichekesha sana anajiona mjanja! Anajiona anashobokewa kumbe ni Malaya wa Nairobi ndo wanamshobokea.

Kwanza mtu gani anapenda kushobokewa wa wanawake. Eti wanawake ndo waanze kumtongoza,
Eti wanawake wa bongo hawamchangamkii...eti wako shy...sasa anataka waweje...
Hao black Americans Wana shida sana ndo maana ni kundi la Mwisho kule marekani...
Wana matatizo flani ambayo wanahitaji kuyaadress...

Eti anaichagua Kenya over Tanzania kisa Tu Wana KFC, Walmart, sijui etc...

Sema ni mdogo..ana miaka 23 Tu...
Maisha bado hayajamtreat vzr...
 
Huyo jamaa ukifuatilia content zake ni malaya,hata alipokua TZ alikua na malayq wa kikenya,tour guide wake alikua anamtembeza mitaa ya kijitonyama tu,kkoo alifika na mmarekani mwenzake anaitwa mark meet afrika ambaye anaishi TZ,alipofika kenya jamaa awampeleki uswazi ila siku akifika uswazi ndio atajua hajui
visingizio vimeanza..
 
Sabbatical travelled in Tz and stayed for 30 days same as Kenya and gave his views.Of course the jealous tanganyikans will come for his head...

Sabbatical travelled in Tz and stayed for 30 days same as Kenya and gave his views.Of course the jealous tanganyikans will come for his head...

Hebu Angalia video vzr ulinganishe Dar na Nairobi yako ukiwa kwenye public transport....Angalia level ya usafi na organisation ya City...

Msipende kuwa comforted na hao YouTubers wanaotafuta views na attention YouTube....
 
Back
Top Bottom