Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unajua grid yetu pia ipo connected na ya Ugandan na Ethiopia? How much electricity do we import? Ukweli ni kwamba you only export food stuffs to kenya which inategemea seasons, kama kuna kiangazi kenya ndo mnaexport sana. The problem is soon tutaacha kuimport some of the food stuffs once our irrigation projects start working

"You only export Food stuffs"
Kuficha kichwa kwenye mchanga haitawahi save your ^ss.

Hivi unajua grid yetu pia ipo connected na ya Ugandan na Ethiopia? How much electricity do we import? Ukweli ni kwamba you only export food stuffs to kenya which inategemea seasons, kama kuna kiangazi kenya ndo mnaexport sana. The problem is soon tutaacha kuimport some of the food stuffs once our irrigation projects start working
Hahahaha, Kenya hamna umeme wa maji, ninyi mnategemea "Geothermal ambao ni ghali, ndio sababu bei ya umeme kwenu ipo juu Sana, hivi sasa mnasubiri bwawa la Ethiopia likamilike Ili mnunue umeme wa bei Nafuu toka Ethiopia.

Bwawa letu likianza kuzalisha umeme mwakani 2024, maana yake viwanda vyetu vitazalisha bidhaa kwa bei nafuu, hivyo bidhaa zenu zitakua ghali kuliko zetu, hiyo ndio sababu "trade deficit itaongezeka zaidi. Hivi Sasa Tanzanian exports of manufactured goods is more than that of Kenya. My friend our manufacturing sector is bigger than yours.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Downtown Chicago
FB_IMG_1688712366828.jpg
 
Hivi unajua grid yetu pia ipo connected na ya Ugandan na Ethiopia? How much electricity do we import? Ukweli ni kwamba you only export food stuffs to kenya which inategemea seasons, kama kuna kiangazi kenya ndo mnaexport sana. The problem is soon tutaacha kuimport some of the food stuffs once our irrigation projects start working
Nothing works in Kenya
 
Serikali wajenge bomba la gesi kuanzia mtwara/lindi kuelekea songea,halafu lipite liganga ludewa kwenye mzigo wa chuma.
Halafu toka hapo lielekee mbeya hadi Zambia.

Kama wakipeleka gesi liganga,halafu wakachimba chuma na kuyeyusha palepale kwa Kutumia gesi kama source of energy,halafu kutumia gesi hiohio kwenye kutengeneza bidhaa mbalimbali za chuma kama spea za magari,pikipiki,zana za kilimo,vifaa vya ujenzi ,n.k, basi tutakuwa na viwanda vingi vitakavyoibuka ambavyo vitazalisha bidhaa tofautitofauti za chuma.Kinachotakiwa ni kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha chuma cha liganga kinauzwa nje kama bidhaa kamili iliyoongezwa thamani viwandani.Lakini wakizembea hapo,tutakuwa tunaliongelea suala la viwanda kama ndoto za alinacha wakati kiukweli mungu katupa kila kitu.

nitawashangaa sana kama hawatapitisha bomba la gesi liganga, na hio ni njia fupi kuelekea Zambia. Na nitawashangaa sana kama watang'ang'ania kuuza chuma cha liganga kikiwa ghafi badala ya bidhaa kamili.
 
Hapo ndipo maono ya viongozi wetu wengi huwa ni finyu,,mara nyingi huaribu

Ila kuhusu bomba la ges naona serikali ya Tanzania na ya Zambia imeyazungumzia haya kuhusu kutengeneza bomba
 
Back
Top Bottom