mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 4,812
- 5,263
Really Bongo??….. a foreign minister ni kitu ya kupost?…. Acheni ujinga!..🤣🤣🤣
huyu Jamaa wa Texas huwa anawaanika sana!😂
Ujinga ni huu hapa 👇Really Bongo??….. a foreign minister ni kitu ya kupost?…. Acheni ujinga!..🤣🤣🤣
Dirt roads everywhere
huyu Jamaa wa Texas huwa anawaanika sana!![]()

We unawachukulia serious hao mkuu?😅Vipo vingi,wasisingizie kuwa wanaagiza chakula tu pekee
Good observationSerikali wajenge bomba la gesi kuanzia mtwara/lindi kuelekea songea,halafu lipite liganga ludewa kwenye mzigo wa chuma.
Halafu toka hapo lielekee mbeya hadi Zambia.
Kama wakipeleka gesi liganga,halafu wakachimba chuma na kuyeyusha palepale kwa Kutumia gesi kama source of energy,halafu kutumia gesi hiohio kwenye kutengeneza bidhaa mbalimbali za chuma kama spea za magari,pikipiki,zana za kilimo,vifaa vya ujenzi ,n.k, basi tutakuwa na viwanda vingi vitakavyoibuka ambavyo vitazalisha bidhaa tofautitofauti za chuma.Kinachotakiwa ni kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha chuma cha liganga kinauzwa nje kama bidhaa kamili iliyoongezwa thamani viwandani.Lakini wakizembea hapo,tutakuwa tunaliongelea suala la viwanda kama ndoto za alinacha wakati kiukweli mungu katupa kila kitu.
nitawashangaa sana kama hawatapitisha bomba la gesi liganga, na hio ni njia fupi kuelekea Zambia. Na nitawashangaa sana kama watang'ang'ania kuuza chuma cha liganga kikiwa ghafi badala ya bidhaa kamili.
Huyu anakuwa anasoma hivi Ili iwe nini hasa?
Huyu anakuwa anasoma hivi Ili iwe nini hasa?
Kwamba atafanya kazi 2 at par? Inawezekanaje? Badala uwe mbobezi wa fani Moja unapoteza energy na fursa..Anatumia vizur fursa/talent au uwezo alionao
Africa Huwa Kuna watu wajinga sana ndio maana kusoma haina maana kwamba una IQ au EQ kubwa.ili aitwe Eng., Dr. MMed.
Sawa kijana wanguKwamba atafanya kazi 2 at par? Inawezekanaje? Badala uwe mbobezi wa fani Moja unapoteza energy na fursa..
Ni mara mia angekuwa na fani mojawapo hapo plus sheria..sifa za kijinga with little impact.