Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is one city that we should get it 100% right .I am glad they started with the vertical infrastructure and now building works being the next phase
One of the areas I personally pay attention to is the Landscapping….I am obsessed with high standards of the outside starting from my own house…. So am paying attention how they will do it in Konza….I admire Kigali Rwanda…..Landscapping business has a huge potential in Kenya…. Something you should think about…
 
Ww utajuaje na je kama wanaficha ww utajuaje ?? watu wamepigwa vibaya sana na wengine hatujui mahututi au wamekufa bro niamini mm ninachokwambia kuna siku utanielewa tu
Mkuu, samahani Sana, lakini ninahisi haupo fair mkuu, unanongwa na Chuki kwa western countries. Mkuu badilika kaka, acha hizo mkuu, unatukatisha tamaa wapambanaji wenzako hapa JF. You are too cheap.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, samahani Sana, lakini ninahisi haupo fair mkuu, unanongwa na Chuki kwa western countries. Mkuu badilika kaka, acha hizo mkuu, unatukatisha tamaa wapambanaji wenzako hapa JF. You are too cheap.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wala sina chuki bro vile hujanijua tu vzr najaribu kuweka yale maovu yao ambayo yamejificha nyuma ya pazi kama haki za binaadamu, sijui haki sawa kwa wote etc

Hii dunia leo inaangamia kwasababu yao wao na huu ndio ukweli bro 😅😅 vita vyote ulimwenguni nyuma ya vita ni wao, uchafu wote ulimwenguni nyuma ya uchafu ni wao
Bahat mbaya sana sisi hatupendi kukubaliana na ukweli but ndio ukweli haujifichi
 
hiyo ni passion yake mzee huwezi jua labda atataka kuja kufanya research on interlinkage btn engineering and medicine! Wacha kumkejeli mzee! kwani unadhani field ya Biochemistry ilikujaje? Biopyhsics je? Wewe ukimbiaji umande wako usifanye ukasirike juu yake!
Mbona mimi niko medical but I have a passion for engineering ni kawaida tuu
 
5H-TCH iko njiani kuja Dar
Ishatoboa mkuu

Screenshot_20230707-230544_Opera.jpg
Screenshot_20230707-230538_Opera.jpg
 
When a country is ruled by one autocratic party ( like CCM) and all information is regulated by government sensors, then it’s hard to tell what’s actually going inside such country…. That’s why their citizens love watching foreign news … they envy their free neighbors….🤣🤣🤣
7939A603-E6AA-4B5D-BCDE-A39A6A17153B.jpeg
 
When a country is ruled by one autocratic party ( like CCM) and all information is regulated by government sensors, then it’s hard to tell what’s actually going inside such country…. That’s why their citizens love watching foreign news … they envy their free neighbors….🤣🤣🤣View attachment 2681412
Ulivaa sufuria lako la ugali kichwani kumuunga mkono "baba" leo kwenye maandamano?
 
Back
Top Bottom