Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kindly stick to the arguments....posting someone's personal life is not allowed.Ukishindwa debate unajitoa tu .....huendi personal
Za uso ni za uso tu. Ukipigwa ya jicho halafu ukamuuliza wa pembeni yako nisaidie kuniangalizia jicho langu kama linaona ujue tayari umeshaumuka, jicho limeshajifunga halitaki tena kuyashuudia makonde.

Msiwe na mnajibrag eti mna maisha mazuri kushinda watz wakati hali zenu ni tia maji tia maji.

Fita ni fita muraa usituchagulie mahali pa kupiga
 
3/4 ya Wakenya wa humu mko hivyo, mna maisha ya hovyo sn mmejaliwa midomo tu mirefu lkn mfukoni hamna kitu mbwa nyie.
Kwaivo maisha ya mtu mnajua kwa social media? Watu wengine mtaanza kuchukuliwa serious wakati mtaachana na utoto
 
Kwao huko middle class ni yule anaeweza ku rent bed sitter au 2bedrooms ila tanzania middle income ni yule anamiliki majumba na magari wengine na bishara zao
Ndio utofauti uliopo. Ukilinganisha maisha ya Mtanzania mmoja mmoja na Mkenya ni vitu viwili tofauti, tumewaacha mbali sana
 
Yani kwa kawaida nikipambana na adui huwa sichagui siraha, yoyote ile iliyo mbele yangu naitumia yani iwe kisu, jiwe, manati, kiti, meza, sturi natumia mradi nikuumize kabisa.
Kubali wewe una akili za kitoto hujamature hata kidogo. Hizo hekaya zako sijui unahadithia nani
 
Kwaivo maisha ya mtu mnajua kwa social media? Watu wengine mtaanza kuchukuliwa serious wakati mtaachana na utoto
Uliomba tulinganishe, mbona umekimbia, au hujaona?, Ninarudia kukuwekea tena, usikimbie
Kenya and Tanzania trade now EAC’s fastest-growing

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Uliomba tulinganishe, mbona umekimbia, au hujaona?, Ninarudia kukuwekea tena, usikimbie
Kenya and Tanzania trade now EAC’s fastest-growing

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaniletea figures za Tanzania against eac nzima na unaclaim mnaenda kudouble trade deficit na kenya. Trade deficit between kenya na Tanzania ni kidogo sana inaishinda ikishift kulingangana na seasons. Hamna siku mtatuuzia mara mbili ya tunachowauzia, labda kwa ndoto. Alafu pitia hio post yako, ulikua unazungumzia kugenerate umeme through geothermal ni very expensive ukilinganisha na hydroelectric nikakuambia ulete figures tuone zimewachana na ngapi
 
Back
Top Bottom