Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

5* ,4*,3* mwisho

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
5 hazipo zilizopo ni 4,3 na 2..

Hii Huwa wanasema ni Nyota 5 lakini Haina hadhi hiyo
Screenshot_20230506-160803_1.jpg
Screenshot_20211222-113224.png


Hizo zingine siwezi kukutajia zimejaa hapo Mjini kuanzia za Desderia za kina Sugu Hadi Bonaki
 
Yep. Almost 100% of Tanzanians who comment here have never been to Nairobi. Probably never even Namanga.
Every Tanzanian who's been to Nairobi goes back with many thoughts.

A year ago I hosted 2 of them for a wedding. They couldn't believe Kahawa Sukari was part of Nairobi, after what they thought was driving for an eternity.

Not to mention how they were impressed by general developments, especially buildings.
They were shocked that 20km from the CBD they were still seeing tall modern houses. [emoji23] [emoji23]
It was actually amusing.
Mkitoka huku ndiyo mjione bora otherwise mtaishia kujifurahisha tu kwa tiny estate photo kwa ground nothing
images (2).jpg
images (1).jpg
images.jpg
 
Sasa we umefika Dar gani.? Kama hujui kama Kinondoni manispaa ni kibwa sawa na Nairobi.? [emoji1787][emoji1787] Unaijua mipaka ya manispaa ya Kinondoni.?
Idadi kubwa ya Mitaa ya washua ipo Kinondoni manispaa..
Upanga
Masaki
Osterbey
Kinondoni yenyewe
Mikocheni
Kawe
Mbezi beach
Salasala
Mbweni
Ununio beach
Survey
Bunju
Mwengo coca-cola
Makongo juu

Namba kubwa ya watu wa middle class na matajiri in DAR wanaishi wilaya ya Kinondoni.. ambayo ni same size na hiyo Nairobi yote

Halafu uko hapa eti unatamba umeshawahi kufika DAR [emoji1787][emoji1787]
Usijisumbue mkuu
 
nyinyi ndio mlianza hii thread to waste our time.....so long as 98% of dar is uswazi like...those useless cosmetic projects mnaguzia aren't helping at all.....do you have an urban planning ministry in tz really....I mean ....all your cities or whatever you call them have that signature uswazi hovels dotting everywhere....how you don't question your leaders is baffling.. or we agree tanzanians basically settle for cheap standards
Urban planning ministry?!!!!! Says a Person whose whole country is covered by slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeishiwa kama kawaida unatafuta pa kutokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenzio niliwahi Mwambia Mbeya inaongoza kuwa na kampuni nyingi za Mabasi sawa au zaidi ya Mwanza na inaongoza Kwa VIP Buses akabisha ,tukaanza Ligi akakimbia [emoji1787][emoji1787]
Kule watu wengi wanamiliki gari zao binafsi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom