Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewahi sikia lini yakafanyika Tabora au.kwenu Tanga?

Ulivyo nyumbu hujui kwamba Serikali imeyageuza na kuwa na ya Kimataifa na yatakuwa yanafanyika Mbeya na Dodoma
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
Nothing is special about nanenane
BTW kwetu mimi ni Kilimanjaro, ofcz the most developed region in Tanzania behinds Dar es salaam

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kama Kenya hakuna mihemko msidhani hakuna miradi.
Mfano. Kuna Mradi wa barabara kubwa toka Garissa hadi Liboi On Somalia border.
Lakini kwanza hii... Toka Isiolo hadi Mandera!!! 850Km Highway pamoja na njia zile ndogo ndogo za kuunga miji midogo midogo.

Already taking shape
View attachment 2670731View attachment 2670732View attachment 2670733View attachment 2670734View attachment 2670735
Kama ndo mnajenga mwaka huu...na kenya ni nchi ndogo kinoma au can you say you are above Tanzania infrastructure wise...

Imagine km 850?...hii si to Dar to Mbeya kabisa.....
 
Ukienda Moshi utapapenda tu,very smart small town,hotel za maana,maeneo ya kula bata kibao,mitaa imejichora kama mbele ,Huduma za kijamii next level

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata Moro kuna hoteli za maana Morena n.k. pia soko na Bus stand ya maana! In general more organised kuliko Mbeya! Moshi pia wanajenga bus stand yao!
 
Mbeya simkoa wa kilimo kk, sio lazima kila jambo tupambane

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Jibu hoja wewe mbuzi, umesema hakuna u spesho wa 8/8 na Sasa unasema ni Mkoa wa Kilimo,Na Dodoma ambako 8/8 Itakuwa inafanyika sanjali na Mbeya ni Mkoa wa Kilimo?

Kwanza Mbeya yenyewe unaijua au unaisikia humu jf?
 
Morena,Nashera,moro Hotel, flomi kimtindo zinawakilisha

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umeona.. ninachosema! Mbeya ni kilimo ambacho hata Moro na Moshi kiko! Moshi pia kuna kilimo cha Kahawa, ndizi na horticulture (maua na mbogamboga) ! Moro wanalima Mpunga pia!

Tukija kwenye international events Moshi ina Karibu KiliFair iko-rotate kati yake na Arusha na Kilimanjaro Marathon pia, Mbeya ina national event Nanenane ambayo huzunguka nchi nzima!
 
Mbuzi mwenyewe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Njoo Utolewe ujinga kichwani 8/8 Mbeya
Ataanza VP kuyafungua
Atakuja PM
Rais atafunga Maonesho

Na mabalozo wote Wanaowakilisha Nchi zao Tanzania watakuwepo ,nyie si Huwa mnasema Mbeya hakuna hoteli Sasa sijui hao washiriki watakuwa wanalala Juu ya miti au?
 
Wewe shida yako umeishi vijijini maisha yako yote
Unafikiri Hotel ni jengo tu lenye vitanda na sehemu panapikwa chai basi,pole

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wewe shida yako umeishi vijijini maisha yako yote
Unafikiri Hotel ni jengo tu lenye vitanda na sehemu panapikwa chai basi,pole

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umeishiwa kama kawaida unatafuta pa kutokea 😂😂😂😂

Mwenzio niliwahi Mwambia Mbeya inaongoza kuwa na kampuni nyingi za Mabasi sawa au zaidi ya Mwanza na inaongoza Kwa VIP Buses akabisha ,tukaanza Ligi akakimbia 🤣🤣
 
Back
Top Bottom