Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Kenya hakuna mihemko msidhani hakuna miradi.
Mfano. Kuna Mradi wa barabara kubwa toka Garissa hadi Liboi On Somalia border.
Lakini kwanza hii... Toka Isiolo hadi Mandera!!! 850Km Highway pamoja na njia zile ndogo ndogo za kuunga miji midogo midogo.

Already taking shape
View attachment 2670731View attachment 2670732View attachment 2670733View attachment 2670734View attachment 2670735
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bro kwenye hii picha zinaonekana gorofa sita ndefu the rest ni dwarf sasa ajabu hapa ni nini.? Nini ambacho unakiona kwenye hii picha Halaf unahisi hakipo in DAR.? [emoji1787] Nataka nikutoe tongongo leo
nyinyi ndio mlianza hii thread to waste our time.....so long as 98% of dar is uswazi like...those useless cosmetic projects mnaguzia aren't helping at all.....do you have an urban planning ministry in tz really....I mean ....all your cities or whatever you call them have that signature uswazi hovels dotting everywhere....how you don't question your leaders is baffling.. or we agree tanzanians basically settle for cheap standards
 
ushuzi tu......nonsense
39751258-aerial-view-of-the-city-of-dar-es-salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildi...jpg
39783074-aerial-view-of-the-city-of-dar-es-salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildi...jpg
 
Kama Kenya hakuna mihemko msidhani hakuna miradi.
Mfano. Kuna Mradi wa barabara kubwa toka Garissa hadi Liboi On Somalia border.
Lakini kwanza hii... Toka Isiolo hadi Mandera!!! 850Km Highway pamoja na njia zile ndogo ndogo za kuunga miji midogo midogo.

Already taking shape
View attachment 2670731View attachment 2670732View attachment 2670733View attachment 2670734View attachment 2670735
we are used to projects.....they are silently being done .......not like some low key countries where building a toilet has to be in national news
 
😅😅😅😅😅 toka wazaliwe alaf ajabu angalia barabara yenyewe sasa utasema chochoro za uwanja wa fisi

Quality sasa ndio hua vichekesho😅😅
 
Back
Top Bottom