Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbeya ni Big No ,hakuna mji apa ni fujo tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa? Kama hotels za kisasa Moshi na Morogoro wana hotel bora zaidi by far! Kama mipango miji, Moshi na Morogoro ni level ya juu ukilinganiaha na Mbeya.

Kama vyuo Morogoro na Moshi wana vyuo zaidi! Kama international schools Moshi na Morogoro wanazo, Mbeya hawana! Kama uwanja wa Ndege Morogoro wana Ngerengere pia na Moshi KIA!

Kama viwanda hata Moshi wanavyo pia vya bia, cha coca cola, vya cement, vya shairi, vya sukari vya ngozi n.k. Morogoro, cooking oil, leather, sukari, sabuni, katani n.n.k.

Sidhani kama Mbeya wana golf course kama Morogoro na Moshi! Mbeya haina hadhi kuwa jiji walipewa hadhi kisiasa zaidi!
 
Hivi ilikuwaje Mbeya ikafanywa jiji na sehemu kama Morogoro au Moshi pakaachwa?
Hawa ni population na mzunguko wa hela,
Kwa hela tu Mbeya ipo kutokana na shughuli za kilimo na viwanda...ila kwenye mambo ya planning jamaa hakuna kitu walichofanya hapo...huo mji hata barabara za lami ni chache sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni population na mzunguko wa hela,
Kwa hela tu Mbeya ipo kutokana na shughuli za kilimo na viwanda...ila kwenye mambo ya planning jamaa hakuna kitu walichofanya hapo...huo mji hata barabara za lami ni chache sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Barabara za lami zipo na wamejitahidi sana kujenga barabara na wanaboresha zaidi
 
Sababu4? Urban area yenye vyuo vikubwa vitatu!
Morogoro bado inalegalega...Japo sio haba nimeona kuna barabara za maana zimejengwa maeneo ya viunga vya mji..lakini bado nyumba za kizamani ni nyingi katikati ya mji...hakuna mabadiliko makubwa ...Nature ya wenyeji ndio tatizo sio wapambanaji kivile, same as Dodoma kama sio Government kuwekeza kwa nguvu pale hakuna maajabu yyte tungeyaona miaka buku

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom