Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli alikua anaenda bampa yo bampa aisee,ila magu kaacha legacy ya uzalendo maana sasa wengi wa watanzania washaujua usnitch wa kunyan,na kila mwenye mamlaka ya kuwabana anawabana kiupande wake,uwa napita tiktok yan kule kuna vita kubwa sana,kuna mbongo alienda mpaka naipori kuonesha umaskini wa kunyan,nasikia hii issue hadi serikali yao imeingilia 😃,jamaa kawachana vibaya sana 😃
wakenya ni majirani na ndugu zetu lakini wamekuwa wakituhujumu mara zote tena bila sababu za msingi ingawaje wao ndiyo wanufaika zaidi ya undugu na ujirani uliopo. Daima wakenya wamekuwa siyo watu wema hasa yanapokuja masilahi ya Tanzania.
 
wakenya ni majirani na ndugu zetu lakini wamekuwa wakituhujumu mara zote tena bila sababu za msingi ingawaje wao ndiyo wanufaika zaidi ya undugu na ujirani uliopo. Daima wakenya wamekuwa siyo watu wema hasa yamepokuja masilahi mazuri kwa Tanzania.
Wale ni majirani tu kama sio ndugu zetu,bora hata msumbiji unaweza kuwaita ndugu lakini si kunyan,ndugu gani anakua na chuki na wivu na ndugu yake!hatuna undugu na kunyan
 
Screenshot_20221025-203055.png
Kule watu wengi wanamiliki gari zao binafsi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kule kwenye mabanda ya nguruwe labda ukamdanganye mkeo.
Takwimu hazijawahi danganya 👇
IMG-20221211-WA0004.jpg
 
Maneno meengi alafu points hakuna

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hiyo sio point? Wewe unaweza thibitisha umiliki wa magari binafsi baina ya Mkoa na Mkoa au unabwabwaja tuu?

Nimekupa takwimu ya watu wa wapi Wana stable income and so kuwa na uwezekano wa kumiliki magari zaidi ,kuashiria kingine ni traffic jam,GDP,wingi wa Vituo vya Mafuta nk.

Hunaga hoja wewe Mzee
 
Someni "comments" za wakenya hapa chini, hakuna hata mmoja aliyetaja neno "East Africa", wakati walioshinda 99% wanatoka East Africa. Hawa sio wenzetu hata kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sio point? Wewe unaweza thibitisha umiliki wa magari binafsi baina ya Mkoa na Mkoa au unabwabwaja tuu?

Nimekupa takwimu ya watu wa wapi Wana stable income and so kuwa na uwezekano wa kumiliki magari zaidi ,kuashiria kingine ni traffic jam,GDP,wingi wa Vituo vya Mafuta nk.

Hunaga hoja wewe Mzee
Mbeya ni jiji hata ghorofa hakuna?
Sasa kama unadhani ghorofa zinajengwa na maneno jitetee
Screenshot_20230628_093748_Chrome.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sio point? Wewe unaweza thibitisha umiliki wa magari binafsi baina ya Mkoa na Mkoa au unabwabwaja tuu?

Nimekupa takwimu ya watu wa wapi Wana stable income and so kuwa na uwezekano wa kumiliki magari zaidi ,kuashiria kingine ni traffic jam,GDP,wingi wa Vituo vya Mafuta nk.

Hunaga hoja wewe Mzee
Mbeya ina wakazi 2.3M
Kilimanjaro 1.8M sensa ya mwaka 2022
Idadi ya shule za sekondari Mbeya 211
Idadi ya shule za sekondari Klm 316
Bado tu unaona Mbeya ina maendeleo ya kutisha?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kama ndo mnajenga mwaka huu...na kenya ni nchi ndogo kinoma au can you say you are above Tanzania infrastructure wise...

Imagine km 850?...hii si to Dar to Mbeya kabisa.....
Wanajenga wapi ww unaona katika zile picha kuna ujenzi wowote unaoendelea hapo 😅😅😅😅😅😅
 
Mbeya ina wakazi 2.3M
Kilimanjaro 1.8M sensa ya mwaka 2022
Idadi ya shule za sekondari Mbeya 211
Idadi ya shule za sekondari Klm 316
Bado tu unaona Mbeya ina maendeleo ya kutisha?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa kwako wewe concept ya Maendeleo ni shule tuu? Kwa nini usiweke range of activities?

Unakoelekea utasema magorofa yakiwa mengi ndio maendelea 🤣🤣
 
Back
Top Bottom