Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umemaliza kulia? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

View attachment 2670481
Source include World bank and not world bank [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ndiyo sababu mtaendelea kufa kwa njaa miaka nenda rudi, na nikuhakikishie tu itafika wakati Kenya mtaitegemea Tz kwa kila kitu, kama mnavyoona kwa ss watanzania wameanza kuwekeza Kenya kwenye miradi mikubwa mfano gas (Rostam Aziz), media (Azam-Bakhressa), Oil (Lake Oil) etc. Hii inapaswa iwape alert kwamba Tanzania inakwenda kuitawala Kenya kisiasa, kiuchumi na kijamii, kelele za cooked GDP hazitawasaidia inapaswa mjipange kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maajabu ya musa. Jamaa anaishi fishing village na anaongea. Dar wanafaa wahame wote waingie mmoja mmoja.
Ukitoa the few main roads, dirt roads everywhere.

Dar is the most unorganized city on earth.

View attachment 2670435
this dar is an uswazi village in a nutshell.....just google the aerial views and you wonder why they are contented with such massive poverty....never questioning their leaders..smh
 
Unajua kwamba NAIROBI is of the size to Kinondoni municipal alone.?
 
Source include World bank and not world bank [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ndiyo sababu mtaendelea kufa kwa njaa miaka nenda rudi, na nikuhakikishie tu itafika wakati Kenya mtaitegemea Tz kwa kila kitu, kama mnavyoona kwa ss watanzania wameanza kuwekeza Kenya kwenye miradi mikubwa mfano gas (Rostam Aziz), media (Azam-Bakhressa), Oil (Lake Oil) etc. Hii inapaswa iwape alert kwamba Tanzania inakwenda kuitawala Kenya kisiasa, kiuchumi na kijamii, kelele za cooked GDP hazitawasaidia inapaswa mjipange kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utalia na utangoja sana.
We welcome all investments. Ata USA is the world's biggest recipient of FDI.

In the words of a Touring American, Tanzania iko nyuma ya Kenya miaka 30. 🤣 🤣 🤣
 
Tofauti ya Watanzania na Wakenya humu ni kwamba watanzania wanaongea present tense Wakenya wanaongea past tense.

Wana argument za kujinga halafu wenyewe huona ni za maana.
Yaani karne ya 21 halafu bado wanaandamana Kutaka bei ya unga ishuke!
Tajiri anaangaika vipi na bei ya unga! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa muda wao uliisha kitambo sana, sasa walichobakiwa nacho ni kuficha vichwa kwenye mchanga tu.
 
this dar is an uswazi village in a nutshell.....just google the aerial views and you wonder why they are contented with such massive poverty....never questioning their leaders..smh

Haha. Poverty everywhere.
If you drive even 2 km outside Dar city centre, you feel like you've been transported back in time 50 years.
 
Hakuna mtanzania anajibizana na nyinyi kwa kuongea uongo humu, kwanini nyinyi mnapenda uongo.?

😂 😂 😂 Mbona nidanganye. Ukitoa sijui Masaki na estate ingine moja ama mbili, chenye kinabaki Dar ni level ya Kayole Nairobi.
Kama uko na video ama picha tofauti na hivyo, leta.
I've been in Dar several times, I know what I saw.

Nairobi middle income estates mingi zikifika Dar zinakuwa kama estate za matajiri.

Kama hii Sinza ndio inaitwa 'fashion capital', mko na kibarua. 😂😂

Mjomba Kinondoni ni kubwa na Iko na kila aina ya makazi mzee unataka uonyeshwe Kinondoni.? Ndio mana nakuuliza umefika Dar mwaka gani.?

Unangoja nini. Leta video ama picha.
Dar nimefika mara kadhaa, mwisho December 2022.

Na ukubwa wake sio hoja. Hoja ni maendeleo yaliomo.
Eastleigh yenyewe sio kubwa lakini iko na highrise apartments mingi kuliko Dar mzima.
 
Hii Kinondoni inakaa Busia ama? 😂😂
You want to give Dave Chappelle a run for his money?

lol.......the greater Nairobi metro covers close to 10,000 km sq...........i know tanzanians who know Nairobi very well cant dare come here....most of these dimwits dont actually know the whole of nairobi......they maybe know the Mombasa road sides of Nairobi only and CBD...Lol.......because that is where 98% of visitors operate from
 
😂 😂 😂 Mbona nidanganye. Ukitoa sijui Masaki na estate ingine moja ama mbili, chenye kinabaki Dar ni level ya Kayole Nairobi.
Kama uko na video ama picha tofauti na hivyo, leta.
I've been in Dar several times, I know what I saw.

Nairobi middle income estates mingi zikifika Dar zinakuwa kama estate za matajiri.

Kama hii Sinza ndio inaitwa 'fashion capital', mko na kibarua. 😂😂

huku ndio wana act kitimtim
 
They cant dare bring the aerial views of even eastlands in Nairobi because that is where they will lose the game.tanzanians should just content that they are way below kenya in all aspects.....
 
lol.......the greater Nairobi metro covers close to 10,000 km sq...........i know tanzanians who know Nairobi very well cant dare come here....most of these dimwits dont actually know the whole of nairobi......they maybe know the Mombasa road sides of Nairobi only and CBD...Lol.......because that is where 98% of visitors operate from

Yep. Almost 100% of Tanzanians who comment here have never been to Nairobi. Probably never even Namanga.
Every Tanzanian who's been to Nairobi goes back with many thoughts.

A year ago I hosted 2 of them for a wedding. They couldn't believe Kahawa Sukari was part of Nairobi, after what they thought was driving for an eternity.

Not to mention how they were impressed by general developments, especially buildings.
They were shocked that 20km from the CBD they were still seeing tall modern houses. 😂 😂
It was actually amusing.
 
Back
Top Bottom