Niliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao
Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.
Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.