Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha Ina maeneo mengi sana sijawahi ona picha za juu za hayo maeneo kabisa humu kabisa..
Kama vile;
1.Njiro
2.Ngaramtoni ya chini/nearby Arusha airport
3.Burka city na Mitaa jirani
4.Kisongo

Yo brothers ambao hamjawahi fika Arusha hayo maeneo nimetaja hapo ni ya kishua kunoma.. kama tunapata picha za juu za hayo maeneo basi Arusha tunaiweka league moja na Nairobi not even mombasa.
 
Every town and “city” in your LDC shithole is Uswaziland… taja any place in Bongo and I show you right now…[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tz ukiomba aerial view wanatoweka kwa ground ni uswazi poverty tu
 
Hivi mkuu huwa mnapata wapi nguvu za kujilinganisha na Tz? Kwasababu ya ka expressway cha km 11? Au vighorofa sita vya mchina mnavyoviita GTC? Mnapata wapi guts za kusema Tz kuna uswazi ikiwa hakuna county utakosa slums Kenya?

Mnaongoza duniani kwa kuwa na the biggest slum in the world, mko na hali mbaya kiuchumi kiasi kwamba hamuwezi kupata milo kamili 90% of you and I bet even you are the one of them, majority of Kenyans wish to live in Tz but never ever usikie mtanzania ana wish kuishi Kenya, nchi yenu iko hovyo sn, iko insecure kwa kila kitu health, food, shelter and everything, unapata wapi ujasiri wa kuiongelea Tz vibaya ikiwa mwaka haujapita hujisikii raha bila kuja Tanzania.

Yani utaunga unga upate nauli ya basi uje Tz ila ukija hapa JF unajifanya kuiponda, achana na blind patriotism sema ukweli inapobidi msee.
World Slums Rankings

1. Kenya
2. Nigeria
3. Ghana
4. Somalia
5. South Sudan etc
 
Niliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.

Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.
hehe...hiyo nchi ya uswazi uswazi sasa nini cha kuona surely.....hehe .I like how every foreigner tells you how you are 30 years behind Kenya in overral development but you bury your heads in the sand with that overrated impoverished country of yours....
 
Yep. Almost 100% of Tanzanians who comment here have never been to Nairobi. Probably never even Namanga.
Every Tanzanian who's been to Nairobi goes back with many thoughts.

A year ago I hosted 2 of them for a wedding. They couldn't believe Kahawa Sukari was part of Nairobi, after what they thought was driving for an eternity.

Not to mention how they were impressed by general developments, especially buildings.
They were shocked that 20km from the CBD they were still seeing tall modern houses. [emoji23] [emoji23]
It was actually amusing.
ungewafikisha Juja na Thika si wangezirai....lol.
 
Kama Kenya hakuna mihemko msidhani hakuna miradi.
Mfano. Kuna Mradi wa barabara kubwa toka Garissa hadi Liboi On Somalia border.
Lakini kwanza hii... Toka Isiolo hadi Mandera!!! 850Km Highway pamoja na njia zile ndogo ndogo za kuunga miji midogo midogo.

Already taking shape
20230627_183533.jpg
53000435531_a66d111443_b.jpg
53000586734_85248c060f_b.jpg
53000586734_85248c060f_b.jpg
52999834312_4cabe6f5e9_b.jpg
 
hehe...hiyo nchi ya uswazi uswazi sasa nini cha kuona surely.....hehe .I like how every foreigner tells you how you are 30 years behind Kenya in overral development but you bury your heads in the sand with that overrated impoverished country of yours....
Huu ndio uongo tunakuzungumzia.. hamtuzidi chochote .. hakuna hata kitu kimoja mnatuzidi.. zaidi tukienda ground hapa mtakimbia au mlete takwimu za uongo.

1.Tuko na mtandao wa reli twice size of yours
2.Tuko na barabara almost same
3.Tuko na huduma (sisi ndio vinara)
4. Umeme huku ndio anytime soon hamtatajwa tena kwenye sentence moja na sisi .. huku tunawapiga hands down
5. International airports tunazo nyingi kuwazidi na tunaendelea kujenga

Sasa ukisema eti mnatuzidi overall development kwa 30 years huoni huu ni ukichaa kabisa.? 30 years kwenye nini apartments.? 🤣🤣 Akili zimo kweli we jamaa.?
 
hehe...hiyo nchi ya uswazi uswazi sasa nini cha kuona surely.....hehe .I like how every foreigner tells you how you are 30 years behind Kenya in overral development but you bury your heads in the sand with that overrated impoverished country of yours....
Foreigner yupi, wewe kwani hujui kuna infrastructure nyingi zipo Tz lkn huzipati Kenya wala East and Central Africa ila hakuna infrastructure yoyote ipo Kenya ikakosa kuwepo Tz? Unataka ushahidi? Kama hutaki ushahidi kaa kwa kutulia na uwe mpole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom