mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
[emoji1787][emoji1787]Eti namba 39 duniani kwa kiwanja kimoja, MLS ya USA imewekwa namba 29[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji1787][emoji1787]Eti namba 39 duniani kwa kiwanja kimoja, MLS ya USA imewekwa namba 29[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hawana aibu kabisa na kiwanja chao kimoja 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787]
Hizi picha sijui ni za miaka gani,Mbeya ya Sasa ni nyingine kabisaaUkweli lazima tuwaambie, Tanzania ni slum moja kubwa, huu ni mji wa mbeya nyumbani kwa ChoiceVariable. Picha nzuri nilizopata ni hiziView attachment 2670619View attachment 2670620View attachment 2670622View attachment 2670623
Nakupa homework, nitajie mji wowote tanzania ambayo haina slum nikuonyeshe. Ukweli lazima tuwapeNiliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.
Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.
Mmejionea wenyewe, yani nimesikitika na miji yenu😭😭😭Hizi picha sijui ni za miaka gani,Mbeya ya Sasa ni nyingine kabisaa View attachment 2670626View attachment 2670627View attachment 2670628View attachment 2670629View attachment 2670630View attachment 2670631View attachment 2670632View attachment 2670633View attachment 2670636View attachment 2670637View attachment 2670638View attachment 2670639View attachment 2670640View attachment 2670641View attachment 2670642View attachment 2670643
Nyumba bila mipangilio hata kupitisha barabara itakua kaziUkweli lazima tuwaambie, Tanzania ni slum moja kubwa, huu ni mji wa mbeya nyumbani kwa ChoiceVariable. Picha nzuri nilizopata ni hiziView attachment 2670619View attachment 2670620View attachment 2670622View attachment 2670623
Shakahola na cholera/diarrhea ni kama mtu na demu wake View attachment 2670644
duhh wabongo bwaana yaani mnaenda fukunyua mpaka ndani ya majumba yaoShakahola na cholera/diarrhea ni kama mtu na demu wake View attachment 2670644
Asante kwa picha za kuokota mtandaoni.Shakahola na cholera/diarrhea ni kama mtu na demu wake View attachment 2670644
Na hio ndio hali halisi ya tanzania, hawana ustaarab kabisa.Nyumba bila mipangilio hata kupitisha barabara itakua kazi
Unapenda picha zinazokufurahisha mzee 😅😅 meanwhile ZNZHakuna kuficha tanzania yote ni slum, hii ndo zanzibar ambayo huwa tunaambiwa "best tourist location in africa"👇🏾👇🏾View attachment 2670609View attachment 2670610View attachment 2670611View attachment 2670612View attachment 2670613
Nini kimekusikitisha bwana MkunyaMmejionea wenyewe, yani nimesikitika na miji yenu😭😭😭
Kwani wewe hujui kama Zanzibar ni mji wa kale au? Hiyo sehemu hapo ina zaidi ya miaka 300.Hakuna kuficha tanzania yote ni slum, hii ndo zanzibar ambayo huwa tunaambiwa "best tourist location in africa"[emoji1484][emoji1484]View attachment 2670609View attachment 2670610View attachment 2670611View attachment 2670612View attachment 2670613
Nini kimekusikitisha bwana Mkunya
Zile picha za Slums kama za Kibera ya Nairobi ulizitoa wapi? Mbeya yetu Iko namna hii tena just a portion 👇
Sio lazima uniunge mkono maana nilishakutoa kamasi siku nyingi..Sema mzee wangu kwa hii mbeya sikuungi mkono. 🤣🤐 Mbeya ipo nyuma bhana
Hawa uongo kwao uko inborn hata GDP yao si unaiona na hapa juzi juzi walikuwa wanaficha true value ya KES against USD kwa currency management mpaka wakaumbuliwa na WB na IMF leo reality ime catch up now fast and they are now sitting on a middle finger [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna mtanzania anajibizana na nyinyi kwa kuongea uongo humu, kwanini nyinyi mnapenda uongo.?
Unafiatilia sana eh hadi kitimtim unakijua mimi mwenyewe nakisikia tuu sijawahi hata kuangalia [emoji28]huku ndio wana act kitimtim