ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hawa hata ateremke mtume wa Mungu aje awaongoze hawawezi kunyooka kwasababu wanaroho mbaya sana alaf wabinafsi sanaVipi kuhusu katiba mpya, mbona hatuoni ikipambana na huu ujinga?, au imeshazeeka wanahitaji kuandika katiba nyingine?
Yani hakuna mjaluo au mkikuyu anaefurahia kabila lingine kufaidika ndio maana unaona serekali ikishikwa na mkikuyu basi over 70% wafanyakazi serekalini watakua wakikuyu tu
