Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I didn't vote for ruto but right now he's positioning Kenya and Africa on global stage 👇🏾👇🏾
 
Do away with food shortages and hunger first, positioning Kenya and Africa on the global stage wont bring food on the table.
Do away with uswazis, extreme poverty, malnutrition, diseases, ignorance and come lecture us.
 
Hayo maswali muulize huyo mkuu wa chuo Cha Sudan. Yeye amesema kwamba, Tanzania ni "very stable and peaceful country, and medical education standards is among the highest in Africa". Sasa wewe unataja Harvard, kwani havard ipo Africa?, Punguza kulialia na ukubaliani na ukweli kwamba Medical schools in Tanzania are among the best apart from South Africa and may be Egypt, but those two countries are not as peaceful as Tanzania.
Nimesikia kwenye speech ya profesa janabi kasema katika east Afrika muhimbili ndio the best . I hope professor janabi is not politician. Anasema kitu cha kweli maana yeye mwenyewe ni bingwa kwenye elimu ya afya
 
Hawa kweli wanaongozwa na viongozi viazi. Yani ukope hela ya watu halafu ulalamike kuwa tunalipa hela nyingi kwa mwaka ku service madeni tena anaenda mbali kabisa akisema hiyo hela wanayolipa madeni ingefaa kutumika kuleta maendeleo nchini.

Sijui nani kawaloga agreement ya mkopo mmesaini wenyewe mkikubali masharti yote leo kulipa imegeuka kuwa mzigo au nongwa dah!!

Haya basi tuonesheni mlipopeleka hela ya mkopo basi na sisi tuone hela ilivyotumika sio kutufanya wajinga sisi.

Yani imebidi nivae viatu vya shakahola kwa uchungu ili nisaidie kupaza sauti maana partisanship imekuwa kubwa sana na inalitafuna taifa.

Yani nimeumia sana Imebidi nifungue

#save kenya from kenyans

Sindano imegonga mfupa
Mnauzwa Huku🤣🤣🤣
IMG_20230623_144714.jpg
 
Nimesikia kwenye speech ya profesa janabi kasema katika east Afrika muhimbili ndio the best . I hope professor janabi is not politician. Anasema kitu cha kweli maana yeye mwenyewe ni bingwa kwenye elimu ya afya
Muhimbili kwa Sasa ni best katika matibabu ya moyo, viungo, mishipa ya fahamu na Ubongo, na pua/masikio. Haina mpinzani ktk ukanda huu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hawa kweli wanaongozwa na viongozi viazi. Yani ukope hela ya watu halafu ulalamike kuwa tunalipa hela nyingi kwa mwaka ku service madeni tena anaenda mbali kabisa akisema hiyo hela wanayolipa madeni ingefaa kutumika kuleta maendeleo nchini.

Sijui nani kawaloga agreement ya mkopo mmesaini wenyewe mkikubali masharti yote leo kulipa imegeuka kuwa mzigo au nongwa dah!!

Haya basi tuonesheni mlipopeleka hela ya mkopo basi na sisi tuone hela ilivyotumika sio kutufanya wajinga sisi.

Yani imebidi nivae viatu vya shakahola kwa uchungu ili nisaidie kupaza sauti maana partisanship imekuwa kubwa sana na inalitafuna taifa.

Yani nimeumia sana Imebidi nifungue

#save kenya from kenyans

Wakati walipokua wanakopa hawakuyajua haya yote?, mbona tulipokua tukiwaambia wapunguze kukopa walisema kwamba hata USA na Japan pia wako na deni kubwa?, Leo imekuaje wanaanza Kulalamika?.

Hakuna kubadili IMF Wala WB, Kila aliyekopa alikua anajua matokeo yake, ama kweli kukopa harusi ila kulipa ni majanga. Leo hii wakenya wanalalamika kuhusu mikopo waliyochukua na kujisifu kwamba wanakopesheka ndio sababu wanapewa pesa na hawashindwi kulipa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Do away with uswazis, extreme poverty, malnutrition, diseases, ignorance and come lecture us.
Are you through with hunger and starvation, tribalism, corruption, terrorism, slums, Nepotism, political violence, extrajudicial killings, crime, unemployment, one meal per day, slums and direction less?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
OMG… this beyond embarrassment…. Am ashamed on behalf of Africa…… this a great example of an LDC poorly equipped military…🤣🤣🤣
Helmets from the Second World War…🤣🤣
Body armor from the 70s and 80s
Very old AK47s from communist era
B6BF7CDA-F72E-46D5-AEF1-7F2225325880.jpeg
 
Back
Top Bottom