Sisi mambo ya brt, electric sgr, stadiums, bus stations etc tumeshasahau kitambo wao bado wanalilia hivyo vyote.Hayo mengine mtajua wenyewe, sisi tunawapiga na miradi mipya tofauti tofauti alafu tunaachana nayo tunakuja na mingine, gumzo litabaki kwenu. Juzi state house mkalia weee leo station pia mtalia sana, kesho tunakuja na nyingine, mkija kustuka Tz ni USA ndogo![]()


