Reaction ya kipumbavu kabisa hii, for your information more than 50% of Tanzanians are Christians even I, Muslims wengi wanapatikana pwani mfano DSM, tanga, Zanzibar, bagamoyo and some regions near coastal line like Morogoro ila maeneo mengine yote asilimia kubwa ni christians.
On top of that, Sudanese wameamua kuja Tanzania kwasababu ni ukweli ulio wazi kwamba kwa sasa Tz ndio the best country for health services unaweza kuona hata idadi ya wagonjwa wanaotoka nchi tofauti Africa wanakuja Tz, waafrika wengi kwa sasa wakiumwa magonjwa makubwa kimbilio lao ni SA, Egypt, au Tz huo ndiyo ukweli hata ukilia, even Kenyans wameanza kukimbilia Tz for the best health services, hata wewe ukiumwa ugonjwa mkubwa huna ujanja lazima uje Tz mana pesa ya kwenda India huna.