chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,311
- 45,112
Ujue wanakuja na uchumi hawa, accommodation, utilities, fees, living expenses za hapa na pale ni mchango mkubwa kwenye microeconomics, India ina percent nzuri ya education tourism kwenye uchumi wakeKwa hivo wakiamishwa Muhimbili inamaanisha Muhimbili ni bora? Mbona basi hawakuamishwa Cape Town ambayo ni bora Afrika? Mbona hawuamishwa Havard ambayo ni bora duniani kwa sasa? Huwa mna reasoning ya kipuuzi sana nyinyi. University za Kenya sio za kuingia tu kiovyoovyo.
Ninyi naona hata serikali yenu imeshindwa kabisa kuwapigania inabangaiza serikali nyingine duniani ndio ziwape one of their critical obligation which they've failed to deliver, employment, yaani mpaka Jamaica seriously 14 billion economy? 😅😅😅

