Unafikiri Singapore walianza na msitu wa Shakahola?![]()
Hii kujilinganisha na Tanzania hapa ni aibu mbaya sana sema hawana aibu. (Rejea The four Asian Tigers)Ni mwendo wa waarabu tu. Kazi ipo. Kazi iendelee
Na haya yote nyuma yake yuko mzungu ndio anashindikiza upuuzi wote huu akiwapa pesa wapinzani na baadhi ya wanasiasa wanaojali matumbo kwa visenti vidogoMbona huwa tunashirikianaga na wazungu au wachina.? Iko wapi shida tukishirikiana na waarabu.? Au tunasau kuwa sisi ni non aligned movement.
This Turkana county… after Njaa na Kibera , it’s Bongolala third Trojan horse ( excuse my English)…… the place is dry as hell yet pia huko ,Devolution has been effective View attachment 2660951View attachment 2660952View attachment 2660953View attachment 2660954View attachment 2660955
Wajinga hao achana nao,Egypt na Iran Zina ushirika mkubwa sana wa Kijeshi na Tanzania,hata Algeria tunapeleka sana watu Wetu huko..Mbona huwa tunashirikianaga na wazungu au wachina.? Iko wapi shida tukishirikiana na waarabu.? Au tunasau kuwa sisi ni non aligned movement.
Reminds me of Kilimani. There was heavy construction there between 2015 and 2021 and the roads became pathetic but sahii kuko poa sana.Unasahau huko kwenu estates kama hizi ni vumbi tupu. Hizi barabara zimeharibika because of the heavy construction imekua ikiendelea eastleigh na barabara zenyewe zilijengwa kitambo. Tyari Nairobi county inapania kuzikarabati hizo barabara mwaka huu
😅😅kitu wanaweza ni kukimbia kama vichaa
Haina tofauti na upanga....Roads zinajengwa after
Sahii construction lorries zimearibu.
But you can seee well vile Eastleigh is green net all over.
Apartment za maaana.
Hizi standard hazipatikani popote pale EA, mashakahola kama wanabisha watume picha kutoka ka Nairobi inayokaribia hii.
Tuna peleka watu wetu kufanya nini huko?Wajinga hao achana nao,Egypt na Iran Zina ushirika mkubwa sana wa Kijeshi na Tanzania,hata Algeria tunapeleka sana watu Wetu huko..
Waarabu ndio Kwa Sasa Wana pesa,Dunia yote inaenda kwao Wazungu wamefilisika,Wachina ni matapeli hawaamoniki..
Wajamaa ni watu wa hovyo sana usiwape airtime, Serikali sio wajinga wanajua wanachokifanya.View attachment 2661539
Israel na China nk Huwa mnawapeleka kufanya nini? Unataka ushahidi upi zaidi ya kujibu hili swali?Tuna peleka watu wetu kufanya nini huko?
In 1960s kabla ya Tanzania Military Academy kujengwa, higher training kijeshi walienda Egypt na kwingineko.
Sasa, hebu tupe mwongozo ukiambatana na ushahidi wa nini kinaeapeleka wanajeshi wetu huko, ikiwa higher military training karibia nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara, hutumia Tanzania Military Academy.
Our leaders are performing to our expectation hatufi njaa, vijana wanapewa mashamba bure mikopo na mafunzo ya ujasiriamali what more do you need?Sababu we want more from our government. Sio kama huko kwenu hamwezi thubutu kuconfront your leaders.
Behind that building is what we call urban decay