The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Anaongea kama kondoo aisee.Wakenya ni shida sana, hata sijui "future" ya hiyo nchi itakuaje miaka ijayo, hawana akili kabisa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Anaongea kama kondoo aisee.Wakenya ni shida sana, hata sijui "future" ya hiyo nchi itakuaje miaka ijayo, hawana akili kabisa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ishu ya kiwanja Arusha linaenda kutimia. Regardless of capacity, mwanzo ni mzuri.
Nadhan wachina watatoa hela na kujenga hiv viwanja
Haha anafanana aone traffic ya kenol marua road ajue why ilipanuliwa , si izo upuzi za kwenda Zambia.Huwa unajiita engineer ila naona huna engineering mind kabisa. Hiyo barabara imefanyiwa vehicle count kubaini kama inahitaji kuwa dualed ama mnadual tu kisa mmesikia barabara za Kenya zinakuwa dualed?
Hivi wewe unaposema Dar ni bora kuliko Nairobi umetembea wapi Nairobi?Ametembea wapi TŹ zaidi ya sehemu ndogo tu ya Dar?
Ulitaka nitembee wapi?Hivi wewe unaposema Dar ni bora kuliko Nairobi umetembea wapi Nairobi?
Yani barabara unaweza ukaanika mahindi yakakauka na yasikanyagwe na gari bado wanasema wanataka kuexpand.Haha anafanana aone traffic ya kenol marua road ajue why ilipanuliwa , si izo upuzi za kwenda Zambia.
Dar makwapa....the overrated overgrown uswazi villageUhakika tunao na udhibitisho tunao kwa video.
Hapa
Mji unakuja vizuri🤣View attachment 2661277
View attachment 2661278
View attachment 2661279
View attachment 2661280
Government City Dodoma…
Ipige na neighborhood yake nikushauri 😂😂😂😂One of the many modern markets in NairobiView attachment 2661183