Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Vifaa si vinanunuliwa tuu? Gharama za kununua vifaa siyo sawa na gharama za kuwapa DP World mkataba usio na kikomo. Ikitokea vita na wao wakashirikiana na adui kutuhujumu kupitia bandari utajuwa?Kwahiyo unataka kuendesha bandari vile utakavyo wewe, sio vile watakavyo wateja wa hiyo bandari?.
Wamiliki wa Meli wanalalamika kwamba bado bandari yetu haijafikia viwango vinavyohitajika kutokana na kutumia vifaa vya kizamani, wewe hutaki unang'ang'ana na kubanana na watu hao hao ambao hawana utalaamu, itabidi bandari yako uitumie kuvulia samaki, hakuna Meli zitakazo tumia bandari yako.
mkuu hujui biashara, tujadili kwanini Yanga na Simba zinafundishwa na wageni na watu hawalalamiki?, ila serikali ikiwapa wageni kazi za kuendesha miradi tunalalamika, inawezekana huko Ukatoa msaada mzuri zaidi.
Nchi kama Uingereza wamefanya ubia na DP World kwenye vigati vichache tuu, siyo bandari nzima, huu ni ujuha. Hao jamaa mikataba yao mingi ni ya rushwa, nchi nyingi teyari zimewapeleka mahakamani.
