REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,230
- 10,914
Sitaki nikuelezee in details, msosi wa aina gani huo wa $10 ni KFC, Nandoz, Wimpy, or aina hiyo ya restaurant? maana hiyo ni R185,70 ni hela nyingi sana kama ni msosi wa kawaida, ambapo highest ni R50.Ukipata hela nenda kanywe bia Sandton ,
Kule local beer kama Castle ni around 1.2USD na msosi full ni kama 10$ plus pisi za pale Sandton ni kali mno na haziringi na ni karimu sana, Asante sana kwa ile pisi inaitwa Khumbutso Hakika ilinipa kampani mno.
Pili, hao madem hawakai Sandton, wanatoka locations tofauti sema sandton ndio kiwanja chao cha kutafuta risk, yaani ni kiwanja cha mabuzi wa grade ya juu. Yaani watu toka nje na n.k.
Maisha magumu sana SA, na kawaida ya nchi za kikapitalist, shule ikikutupa mkono kama ni demu, kuuza nyapu kuna kuhusu, ama hamna mishe utapiga.
.

