Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You'll be lucky to find a single true high-rise apartment in all of Tanzania.
The extremely few tall buildings they have are all offices or 2-star hotels.

Eastleigh has more high-rise residential buildings than all of Dar.

Visiting the country feels like you've time travelled to Kenya in 1990s.
Wacha kuongea kama unaliwa we kichaa.. 95% of these high rise buildings ni residential 👇
IMG_6107.jpg
..unaongea mpaka unanuka mdomo with no facts 🤣🤣
 
ingekuwa tz unapata uswazi slums kando ya tower..hehehe
Funny thing Ni kwamba biggest slums in the Africa ni kibera na Mathare .Tz haipo kwenye list .


Unashangaa ukijani hujui kama Tanzania ni ya kijani . Ukivuka Nairobi Ni sahara desert tu huko kulikobakia leta picha ya masarbit ,turkana,wajir hapa tucheke
 
Kwa hiyo yani sisi tumeshindwa kukaripiana na kuwajibishana sisi Kwa sisi au mama hataki lawama za kuonekana anwaendesha watz

Sasa jitu kama lizembe si linaburutwa na kama vipi Lina wekwa kando

Au dp world wakija wanafukuzaa wafanyakazi wote hapo bandarini

Hapa inaonekana mfumo wetu wakielimu umekaa kibiashara sana na sio kutoa wajuvi yaani mtu unaweza kuwa gpa Kali alafu maajabu zero
Hamna lolote tunajitengenezea na tunatengenezewa mazingira ya kuonekana hatuwezi ili wafanye ufisadi wao.

Tangia tumeanza kufanya ubia na watu wa nje tumefaidikaje?
 
Mkuu, huko Uingereza ambako pia DPW wamekabidhiwa bandari kuziendesha, pia mfumo wao wa elimu sio mzuri?. Watu Kama ninyi wenye kupenda Kulalamika bila sababu za msingi ndio tatizo kubwa la Afrika.

DP World hiyo bandari nafikiri wamekabidhiwa kwa mkataba upi? nijuavyo ni ubia. Niambie wewe, ni kwa mkataba upi, msiishie tu wamekabidhiwa huku, huko. Hakuna mtu anawapinga DP World, watu wanapinga aina ya mkataba.
 
Sio underperformers.. ni mfumo wa kuleana hovyohovyo na mambo ya kisiasa. Mf, Dr Matarajio wametoa TPDC.. lkn huyo akipata kitengo nje ana uwezo wa kuleta mafanikio makubwa sana. Wenzetu wanaangalia professionalism, huku tumejaa siasa tu na upigaji.. kila Rais ana mtu wake imrad tu apate vimrija vya kupiga yey na wenzake.

Kwenye hio 80% bila shaka na mim nipo .. lkn naona hata hao wazungu mnaowaleta nimewazidi uwezo
Ndo maana sikuongelea uwezo mzee, nimeongelea performance! Sio kila mzungu ana uwezo mkubwa! Wengine ni maburura tu! As a matter of fact Wengi wao ni maburura tu!

Ishu performance. Watu wako kwenye sehemu zao za kazi hawako serious, wanafanya kazi kwa mazoea, hawathamini wateja wao, wanachukulia kila kitu kishakaji tu!

Matokea yake kila kitu kinakua kigumu kufanyika!

Nakupa mfano, nilinda benki flani na tatizo dogo tu, nilihangaika kama wiki tatu. Nikakasirika, nikampigia simu bosi wao makao makuu, akaniambia nisikate simu nimmpe huyo anaenisaidia hapo kwenye tawi akaongea nae kama dakika moja hivi...baada ya dakika tano nikawa nishamaliza kusaidiwa na tatizo limekwisha.

Sio kwamba yule dada anauwezo mdogo, ila niliona dhahiri kwamba hakuwa anajishugulisha na kutatua tatizo! Ana underperform!!
 
Hii yote ni ufisadi tuu ndo unatuponza mpaka kuwapa kampuni ya nje bandari mama kashindwa kushughulikia ufisadi ni wapewe tu hao dp world kidogo kutakua na afadhalii
Wizi wa bandari hauwezi kuisha mzee kama sisi wenyewe bado tupo pale, hata wewe mwenyewe ukipewa kitengo pale kesho baada ya wiki tu unaanza kupiga. Mizizi ya upigaji bandarini no mirefu sana!

Kama unaona nadangaya wewe hebu fikiria kwa nini watu wenye pesa mpaka leo ni vijana wa TPA na TRA tu!!

Kwa mfano wanongelea mifumo, unafikiri hakuna vijana wanaweza kijenga hiyo mifumo, au kununua?? Ishu ni kwamba watu hawataki, maana upigaji wao utapungua!!
 
Kwahio kisa Balozi Slaa kapendekeza ndo umeona ni wazo zuri?

Wanipe hata mim.. kuimanage TPA ni simple tu. Na sijui kwanin mnapenda kuwahusu watu wa nje na kujiunderestimate sisi wenyew.
Kiufupi, sisi tunafeli kwenye kuingiza siasa kwenye professionalism za watu. Ona sasa mbobezi Dr Matarajio katolewa TPDC, kawekwa sijui mtu gan. Pia tatizo lililopo kila kiongozi anawaza kupiga, kwasababu anajua kuna namna atalindwa

Mim hizi taasis zetu wangefanya haya yafuatayo tungepiga hatua parefu bila kushirikisha wazungu
1. Wakurugenzi wakuu au tuseme top leader wa taasis yeyote wapewe mkataba wa miaka 3.. 'renewable' kwa vipindi hata tano au zaid(yan yule mzuri aendelee kukaa hapo mda mrefu)
2. Yeyote atakapatikana na rushwa au ufisadi, taifisha mali zake zote, tusioneane huruma hata kama ni ndugu yako.. pia hata wakificha.. kbl ya kushika madaraka, andikisha mali hata za ndugu wawili, ndugu yao akifanya madudu hata mali zao zitaifishwe..
3. Tusioneane huruma hata kama kupitia huyo MD, wew una kamrija unapata.
4. Na mengineyo

Tukifanya hiv tutafika mbal bila hata hao wazungu mnaowahusu wakat elimu yao ndo hiohio tuliyonayo

Mim sikuzote ni mmojawapo ninaoamin hawa wazungu hawana kitu kutuzidi, nimeishi nao, nimesoma nao, nimekaa nao. Nashangaaga sana nikiona sehem mgeni mzungu anahusudiwa, wakat mwingine unakuta ni kilaza wa mwisho huko alikotoka, ila akija huku mnamnyenyekea. Dah, huzuni
Hata mimi nimekaa sana na watu wa aina mbalimbali (wazungu waarabu nk.) Duniani kote, watu wenye akili ni wachache sana haijalishi race ya mtu.

Sasa unakutana na malimbukeni wanaodhani low performance ni tatizo lilo exclusive kwa Watanzania litakalotatuliwa kwa kuleta watu wa nje na kushabikia makubaliano ya hovyo ya kuendesha bandari zetu. Mhmm...
 
Wizi wa bandari hauwezi kuisha mzee kama sisi wenyewe bado tupo pale, hata wewe mwenyewe ukipewa kitengo pale kesho baada ya wiki tu unaanza kupiga. Mizizi ya upigaji bandarini no mirefu sana!

Kama unaona nadangaya wewe hebu fikiria kwa nini watu wenye pesa mpaka leo ni vijana wa TPA na TRA tu!!

Kwa mfano wanongelea mifumo, unafikiri hakuna vijana wanaweza kijenga hiyo mifumo, au kununua?? Ishu ni kwamba watu hawataki, maana upigaji waonutapungua!!
Kwa sheria kali kiukweli kwa taifa tulilinalo na uongozi wa kisenge ni uongo kuzitekeleza at least tumpe huyo DP world tuone ufanisi wake .. tena ikibidi shughuli karibu zote za bandari ziwe automatic .. tuanze nasisi ku operate automation ports kama huko ulimwenguni wanavyofanya.. wezi wote watapotea plus ufanisi wa bandari utaongezeka mara dufu
 
Unabadlisha mada.? 🤣🤣 Usisahau hapo hakuna gorofa za udongo mzee .. na zote Kati ya hizo buildings are between 10-20 floors. Na ni gorofa za maana
😂 😂🤣 Nimetembea Tanzania mimi. I know what I've seen.
Nyumba huko ni low-rise karibu zote. Especially residential. Nje ya jiji, you'll be lucky to find even 5-story buildings.

Kenya culture ya huku ni high rise. Estates ambazo hujawai skia hapa Jamiiforums, 10+ floors are the norm.

Ukienda estates zinazojulikana kama Kilimani, Lavington, South B na South C 15 and 20+ are the norm.
Na hizi ni purely residential bila duka za biashara.

Eastleigh alone is approving over 40 residential high-rises over 15 floors per year.
You have a long way to go.
 
You'll be lucky to find a single true high-rise apartment in all of Tanzania.
The extremely few tall buildings they have are all offices or 2-star hotels.

Eastleigh has more high-rise residential buildings than all of Dar.

Visiting the country feels like you've time travelled to Kenya in 1990s.
Eistleigh ni slum tayari haina tofauti na pipeline, haina land bank, haina green spaces, haina paved streets, haina functional garbage collector, haina proper sewage and storm water management, haijulikani ni residential or shopping center, haina playing grounds, sio safe for kids and people with special needs, haina order, the next vertical kibera in the forging
 
Back
Top Bottom