Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna uwazi, unajuwa kilichosainiwa MOU feb 28 2022, kwenye Dubai expo? Unajua kilichosainiwa Oct '22 na serikali. Mbona walikaa kimya hawakutueleza kuhusu DP World mpaka taarifa zilipovuja ndo wanajibaraguza kujidai kutaka kujadiliwa bungeni.
Wewe mzee vipi? Mbona kichwa kigumu kuekewa?? Kila kitu kiko wazi. Sema inaonekana wazi kabisa uwezo wako wa kuchambua Mambo ni mdogo mzee!

Umenisikitisha sana! Mtu gani kila unavyoeleweshwa wewe unajifanya hamnazo!!!
 
Jibu swali acha porojo, Feb 2022 na Oct 2022 nini kilisainiwa na mbona wananchi hatukuambiwa?
 
Slumy
IMG_5537.jpg
 
Glad to see ujenzi wa real estate , majengo makubwamakubwa umerejea tena kwa kasi Dar . We are back to our glory ,
Na good thing ujenzi wa Vertical infrastructure unaenda Hand in hand with massive horizontal infrastructure development.
 
Sportpesa ilianza Kenya, unafikiri hilo neno pesa ni la wapi. Sa hii imekua global brand ndo maana wana register Kama kampuni tofauti katika kila nchi wanahudumu. Ingia kwa website yao joto la jiwe
Duh !!! Mi yaani sportpesa imeanza juzi wakati hilo neno pesa nakua nimelikuta , ebu acheni arrogance ya kikunya. Halafu si mnasema kiswahili hamjui mnataka English tu (tena mnaita kizungu) mnadhani ulaya wote wanajua kiingereza
 
The difference is that hiyo picha ni Manzese na ukienda kwa ground every single individual house has indoor water supply, electricity, access to transport etc and houses are made from real building materials,
IMG_4484.jpg

Contrary to Kibera. A home is made of 100% iron sheets rejects from mabati rolling mills
Halafu kumbe mna ubunifu I see ghorofa in kibera na hamsemi hahaha
IMG_4481.jpg

IMG_4483.jpg

NB: studies say there are over 2.5M (60%) of Nairobians living in slums,
Kibera remains the Largest Slum in the World in 2023. Record imetetewa.
 
The difference is that hiyo picha ni Manzese na ukienda kwa ground every single individual house has indoor water supply, electricity, access to transport etc and houses are made from real building materials,
View attachment 2656775
Contrary to Kibera. A home is made of 100% iron sheets rejects from mabati rolling mills
Halafu kumbe mna ubunifu I see ghorofa in kibera na hamsemi hahaha View attachment 2656776
View attachment 2656777

Your entire city looks like kibera itself.....such ugly aerial views can never be found in Nairobi..

The difference is that hiyo picha ni Manzese na ukienda kwa ground every single individual house has indoor water supply, electricity, access to transport etc and houses are made from real building materials,
View attachment 2656775
Contrary to Kibera. A home is made of 100% iron sheets rejects from mabati rolling mills
Halafu kumbe mna ubunifu I see ghorofa in kibera na hamsemi hahaha View attachment 2656776
View attachment 2656777
NB: studies say there are over 2.5M (60%) of Nairobians living in slums,
Kibera remains the Largest Slum in the World in 2023. Record imetetewa.
Hapa watu wako na akili hizo hekaya zako enda upee wenzako huko vijiweni
Hamna mji ovyo kama dar, uswazi umetapakaa kila mahali unaangalia. Nairobi slums zipo, ila zipo contained in small sections
 
Back
Top Bottom