Mjomba don't dare .. mombasa inakaa hata mbele ya ArushaSasa hizi ni nini.....hii Dar yenu kwa ukweli hata Mombasa inaipiga kuni mbaya
Kaka huyo muhuni unamkazia kinoma 🤣🤣🤣 ChoiceVariable njoo uku boya weweHana elimu msenge uyo.
Asante kwa kuuliza, source guardian UKWapi wameandika ilianzia Kenya, au lugha ndiyo hujui.
Sababu ya ucheleweshwaji ni uzembe ambao unatokana na mazoea. Ukiwaminya wanaosababisha hayo, mambo yatabadilika bila ya kuhitaji wageni kutusaidia. Hakuna cha standard ya kimataifa wala nini, sheria kali itanyoosha kila kitu. Haya mambo ya kulaza akili kwa kuazima wageni kuja kutufanyia mambo yetu badala ya sisi wenyewe, itafika mahala tutaazima hadi wanaume waje kututungia mimba wanawake zetu.Lazima kuwepo na kipimo Cha kufanya vizuri ambacho kimekubalika duniani, ufanisi wa bandari unatokana na uwezo wa bandari kuhudumia Meli kwa haraka ifikapo bandarini(Waiting time).
Kiwango kinachotakiwa kimataifa Cha muda wa kusubiri meli kabla ya kuingizwa bandarini(waiting time) ni siku Moja na nusu(1.5), sisi hapa Dar port (waiting time)ni siku 5. Muda unaotakiwa wa Meli kushusha mzigo (off loading time) ni siku Moja, sisi hapa kwetu ni siku 3, Sasa mkuu tutawezaje kupambana?.
Sasa unaanza kuelewa, bunge juzi lilitoa maelekezo ambayo yatasaidia TPA na Wizara husika kuingia mkataba rasmi na DPW. Subiri tutaelezwa maeneo gani na kwa muda gani hawa jamaa watakabidhiwa.DP World hiyo bandari nafikiri wamekabidhiwa kwa mkataba upi? nijuavyo ni ubia. Niambie wewe, ni kwa mkataba upi, msiishie tu wamekabidhiwa huku, huko. Hakuna mtu anawapinga DP World, watu wanapinga aina ya mkataba.
Wanatafuta sifa lakini uwezo hawana🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo unataka kuendesha bandari vile utakavyo wewe, sio vile watakavyo wateja wa hiyo bandari?.Sababu ya ucheleweshwaji ni uzembe ambao unatokana na mazoea. Ukiwaminya wanaosababisha hayo, mambo yatabadilika bila ya kuhitaji wageni kutusaidia. Hakuna cha standard ya kimataifa wala nini, sheria kali itanyoosha kila kitu. Haya mambo ya kulaza akili kwa kuazima wageni kuja kutufanyia mambo yetu badala ya sisi wenyewe, itafika mahala tutaazima hadi wanaume waje kututungia mimba wanawake zetu.
Kwa hali hii ndio maana kuna match fixing njaa kaliWanatafuta sifa lakini uwezo hawana![]()
Uzalendo usio na tija ni sawa na zero tu. Kwa mantinki yako ni kwamba hata viwanda tulikosea kuwapa private sector au siyo? Hiyo TBL na viwanda vingine unavyoviona leo vinazalisha bidhaa bila mgogoro ni kwa sababu ya private sector ukivirudisha hivyo viwanda viendeshwe na umma hata mshahara wa kulipa wafanyakazi utakuwa kizungumkuti.Sababu ya ucheleweshwaji ni uzembe ambao unatokana na mazoea. Ukiwaminya wanaosababisha hayo, mambo yatabadilika bila ya kuhitaji wageni kutusaidia. Hakuna cha standard ya kimataifa wala nini, sheria kali itanyoosha kila kitu. Haya mambo ya kulaza akili kwa kuazima wageni kuja kutufanyia mambo yetu badala ya sisi wenyewe, itafika mahala tutaazima hadi wanaume waje kututungia mimba wanawake zetu.



Mzee unatumia Itel!?
Usizuge bwana mbona umepoteza mada umeona hio picha ngoja nipost tena hapa chiniMzee unatumia Itel!?

Wengi wa watanzania wanaopinga ubia na private sector wanaogopa kukosa ajira, wanajijua kwamba hawana uwezo wa kupambana katika usimamizi wa "private sector", wanataka kuendelea kufanya kazi kwa kujuana na mazoe Kama ilivyo serikalini, hawana sababu ingine zaidi ya kuogopa kupoteza ajira na kupoteza uzembe wao walionao.Uzalendo usio na tija ni sawa na zero tu. Kwa mantinki yako ni kwamba hata viwanda tulikosea kuwapa private sector au siyo? Hiyo TBL na viwanda vingine unavyoviona leo vinazalisha bidhaa bila mgogoro ni kwa sababu ya private sector ukivirudisha hivyo viwanda viendeshwe na umma hata mshahara wa kulipa wafanyakazi utakuwa kizungumkuti.
Tukubali ukweli tu kwamba serikali ilishajitoa katika kufanya biashara. Na biashara yoyote ili ifanye vizuri huwa haihitaji urasimu wa kisiasa au wafanyakazi ambayo hayo ndio yamejaa kwenye hayo mashirika ya umma. Hata ufanyeje ndugu yangu urasimu hauwezi kuisha kwenye taasisi za umma na serikalini kwa ujumla. Haya mashirika ni ya kibiashara hivyo issue kubwa hapa ni kutengeneza faida kwa nchi hata yakiendeshwa na private sector either local or international.
KINACHOTAKIWA HAPA NI MAKUBALIANO (MIKATABA) AMBAYO NI WIN-WIN KWA SERIKALI/NCHI NA PRIVATE SEKTA. NA HICHO NDICHO WANANCHI WENGI WAELEWA WA HAYA MAMBO WANACHOKILILIA NA SIYO KUPINGA UWEKEZAJI WENYE TIJA.
Washamwambia Sana huyu mmarekani wako kuwa ana utoto mwingi....If a honest American tells them as it is...


Leo kidogo umeongea pointiHapo unauliza swali au unauliza jibu? Mali ya Umma ni shamba la bibi ukijifanya unakaza unaondoka wewe ndio maana best practice ni kuwapa private sector Huwa hawatazami sura Wala jina la mtoto wa kigogo..
Mwisho miaka 60 ya Uhuru hakuna Cha maana kimefangika hapo Bandarini.
Kwanza Bandari imekuwa inatumika kama Chimbo la watu kuvunia ndio maana licha ya kujaza Tiss sijui wanajeshi wote njaa tuu .
Mmm mwenyewe nikiingia humo lazima nipige tuu hamna jinsi kwasababu viongozi wetu wa juu hawapo serious na maendleo na kutomeza ufisadiWizi wa bandari hauwezi kuisha mzee kama sisi wenyewe bado tupo pale, hata wewe mwenyewe ukipewa kitengo pale kesho baada ya wiki tu unaanza kupiga. Mizizi ya upigaji bandarini no mirefu sana!
Kama unaona nadangaya wewe hebu fikiria kwa nini watu wenye pesa mpaka leo ni vijana wa TPA na TRA tu!!
Kwa mfano wanongelea mifumo, unafikiri hakuna vijana wanaweza kijenga hiyo mifumo, au kununua?? Ishu ni kwamba watu hawataki, maana upigaji wao utapungua!!