Sportpesa ilianza Kenya, unafikiri hilo neno pesa ni la wapi. Sa hii imekua global brand ndo maana wana register Kama kampuni tofauti katika kila nchi wanahudumu. Ingia kwa website yao joto la jiweKwan sport pesa ni ya kenya ?? 😅😅😅 au kila kizuri duniani ni chenu
Interchange mpaka vijijiniKenya is now starting to have dual carriageways in villages. This is the longest dual carriageway in East and Central Africa. Next is to be Mombasa, Nairobi, Mau Summit
View attachment 2656347View attachment 2656348View attachment 2656350View attachment 2656351
Sport pesa ni kampuni kutoka uk na HQ yake iko liverpool mbuzi wewe na wawekezaji wakubwa wa sport pesa ni waingereza kenge wewe na imewekeza nchi nyingi sana mpaka south africa wapo kenya na tanzNia also😅😅😅😅😅Sportpesa ilianza Kenya, unafikiri hilo neno pesa ni la wapi. Sa hii imekua global brand ndo maana wana register Kama kampuni tofauti katika kila nchi wanahudumu. Ingia kwa website yao joto la jiwe
![]()
Who we are | SportPesa.org | The SportPesa Effect
While the brand has grown, it has remained true to its founding principles of giving back to its players and communities. Through the weekly SportPesa Jackpots and Mega Jackpots, the brand continues to change the lives of its winners. In its first ten years, the Jackpot has paid out millions to...www.sportpesa.org
Mkuu, kwani tatizo ni management pekee?.Kwahio kisa Balozi Slaa kapendekeza ndo umeona ni wazo zuri?
Wanipe hata mim.. kuimanage TPA ni simple tu. Na sijui kwanin mnapenda kuwahusu watu wa nje na kujiunderestimate sisi wenyew.
Kiufupi, sisi tunafeli kwenye kuingiza siasa kwenye professionalism za watu. Ona sasa mbobezi Dr Matarajio katolewa TPDC, kawekwa sijui mtu gan. Pia tatizo lililopo kila kiongozi anawaza kupiga, kwasababu anajua kuna namna atalindwa
Mim hizi taasis zetu wangefanya haya yafuatayo tungepiga hatua parefu bila kushirikisha wazungu
1. Wakurugenzi wakuu au tuseme top leader wa taasis yeyote wapewe mkataba wa miaka 3.. 'renewable' kwa vipindi hata tano au zaid(yan yule mzuri aendelee kukaa hapo mda mrefu)
2. Yeyote atakapatikana na rushwa au ufisadi, taifisha mali zake zote, tusioneane huruma hata kama ni ndugu yako.. pia hata wakificha.. kbl ya kushika madaraka, andikisha mali hata za ndugu wawili, ndugu yao akifanya madudu hata mali zao zitaifishwe..
3. Tusioneane huruma hata kama kupitia huyo MD, wew una kamrija unapata.
4. Na mengineyo
Tukifanya hiv tutafika mbal bila hata hao wazungu mnaowahusu wakat elimu yao ndo hiohio tuliyonayo
Mim sikuzote ni mmojawapo ninaoamin hawa wazungu hawana kitu kutuzidi, nimeishi nao, nimesoma nao, nimekaa nao. Nashangaaga sana nikiona sehem mgeni mzungu anahusudiwa, wakat mwingine unakuta ni kilaza wa mwisho huko alikotoka, ila akija huku mnamnyenyekea. Dah, huzuni
Kenya Ukiacha maandamano ya siasa, ni mchezo gani mlijaza Kasarani?Hehehe.....yanga and simba derbies is the only time you fill your uhuru stadium.
Guardian newspaper kutoka England, link pia ndo hii nakupa. Hio ni sportpesa UK Kama vile kuna sportpesa Tanzania. Parent kampani ilianza kenya na franchise imeuzwa nchi sita. How gambling giant SportPesa made waves in Africa – and Premier LeagueSport pesa ni kampuni kutoka uk na HQ yake iko liverpool mbuzi wewe na wawekezaji wakubwa wa sport pesa ni waingereza kenge wewe na imewekeza nchi nyingi sana mpaka south africa wapo kenya na tanzNia also😅😅😅😅😅
Peleka upumbavu wako mbali, tangu lini neno pesa likawa la Kenya msenge wewe.Sportpesa ilianza Kenya, unafikiri hilo neno pesa ni la wapi. Sa hii imekua global brand ndo maana wana register Kama kampuni tofauti katika kila nchi wanahudumu. Ingia kwa website yao joto la jiwe
![]()
Who we are | SportPesa.org | The SportPesa Effect
While the brand has grown, it has remained true to its founding principles of giving back to its players and communities. Through the weekly SportPesa Jackpots and Mega Jackpots, the brand continues to change the lives of its winners. In its first ten years, the Jackpot has paid out millions to...www.sportpesa.org
Kusema ukweli kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza juu ya serikali kushirikiana na private sector kwenye ku-run/ku-manage baadhi ya mashirika na taasisi za umma ili kuleta ufanisi in a win-win situation. Kwa hiyo kwangu mimi Kuwapa DP-World kumanage shughuli za bandari zetu (as long as they have a good proved record in the sector) sio jambo baya wala jipya ila tatizo la sisi watz na waafrika kwa ujumla ni mikataba ya hovyo na ya kinyonyaji ambayo nchi zetu zinaingia na hawa private sector tena wengine ni incompetent kabisa/wababaishaji.Watanzania sisi 80% ya work force ni underperformers! Sio serikali wala sekta binafsi!!
Hali ya utendaji wa kazi na kupata desired results ni ngumu sana nchi hii!
Na ndio maana nakwambia sport pesa imewekeza mpaka south africa kenya na tanzania pia usiniambie sport pesa ni ya kenya wakat ni kampuni kutoka nje iliofanya investments nchi za africa 😁😁😁Guardian newspaper kutoka England, link pia ndo hii nakupa. Hio ni sportpesa UK Kama vile kuna sportpesa Tanzania. Parent kampani ilianza kenya na franchise imeuzwa nchi sita. How gambling giant SportPesa made waves in Africa – and Premier League
Dunia hii 21st century sijui hata wanamdanganya nani 😅😅😅😅Peleka upumbavu wako mbali, tangu lini neno pesa likawa la Kenya msenge wewe.
HQ ya sport pesa iko wapi?? 😅😅😅 na je inamilikiwa na nani? Ukipata majibu unitag kwanza kenge weweGuardian newspaper kutoka England, link pia ndo hii nakupa. Hio ni sportpesa UK Kama vile kuna sportpesa Tanzania. Parent kampani ilianza kenya na franchise imeuzwa nchi sita. How gambling giant SportPesa made waves in Africa – and Premier League
Eti hilo neno "pesa" la wapiSportpesa ilianza Kenya, unafikiri hilo neno pesa ni la wapi. Sa hii imekua global brand ndo maana wana register Kama kampuni tofauti katika kila nchi wanahudumu. Ingia kwa website yao joto la jiwe
![]()
Who we are | SportPesa.org | The SportPesa Effect
While the brand has grown, it has remained true to its founding principles of giving back to its players and communities. Through the weekly SportPesa Jackpots and Mega Jackpots, the brand continues to change the lives of its winners. In its first ten years, the Jackpot has paid out millions to...www.sportpesa.org
