Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekomalia Kenya tuu, huoni niliposema tumepata wateja kutoka Zimbabwe, vivi kuhusu 70% ya magari kwenya nje ya nchi?
Lazima kuwepo na kipimo Cha kufanya vizuri ambacho kimekubalika duniani, ufanisi wa bandari unatokana na uwezo wa bandari kuhudumia Meli kwa haraka ifikapo bandarini(Waiting time).

Kiwango kinachotakiwa kimataifa Cha muda wa kusubiri meli kabla ya kuingizwa bandarini(waiting time) ni siku Moja na nusu(1.5), sisi hapa Dar port (waiting time)ni siku 5. Muda unaotakiwa wa Meli kushusha mzigo (off loading time) ni siku Moja, sisi hapa kwetu ni siku 3, Sasa mkuu tutawezaje kupambana?.
 
Sahii kabisa

Kuna shule ya serikali nimesoma nikiwa A- level lakini yule mkuu alikuwa anaiongoza shule kama ya private na watoto WA private hizi ndogondogo wakitutembelea walikuwa wanatushangaa yani,taaluma IPO safi,majengo yapo safi kasoro kidogo ilikuwa gharama ya kumuda mabweni,michezo ilikuwa vizuri

Ishu ni kwamba watu wakiwa serikalini wanajibweteka na Huwa wanajeuri ya kuwa hawafukuzwi kazi gafla bin vuu
Kwasababu hiyo ya uzembe na ukiritimba uliokithiri serikalini, ndio sababu serikali inatafuta wabia Ili waendeshe hiyo bandari.
 
Azam media is there to make things right for our neighbours soon they will come onboard.
Ligi ya kiwanja kimoja, soon kila county itakua na replica kama hizi👇🏾 wakija kenya simba inafungwa na kariobangi sharks🤣🤣🤣
images.jpeg
images-1.jpeg
images-2.jpeg
images-3.jpeg
 
Hahaha, mkuu unachekesha Sana, wakenya wameshakuharibu Sana. Wakenya wanadhani mafanikio yao makubwa hapa duniani ni kuizidi Tanzania.

Mkuu, hivi Sasa kwa ufanisi bandari ya Djibouti ipo ndani ya bandari 100 bora duniani, Somalia ipo kati ya bandari 150 Bora duniani. Sisi tupo namba 324. Kwasababu tumewazidi Kenya(Failed state) ndio kipimo kwamba tunafanya vizuri?.

Kenya ni nchi inayosambaratika katika Kila eneo, hupaswi kujilinganisha na nchi ambayo ipo kwenye "downward trajectory', inawezekana kwamba Kenya ndiyo inayotupita kwa Kasi ya kuporomoka chini wakati sisi tupo pale pale hatupandi juu. Japo ni kweli kwamba tumepanda, lakini Kasi ni ndogo Sana haiendani na "potential" ya bandari yetu.
Bado umekwamilia ripoti ya (WB) ambayo imekua debunked kama ya upotoshaji au kisa imeiweka dar port juu ya Mombasa!? Huwezi kusoma majira ukaona kwanini ni dar port inauzwa na sio Mombasa. Hata hio Djibouti Nina mashaka nayo lazima mchina anaifyonza.
 
Back
Top Bottom