Kwahio kisa Balozi Slaa kapendekeza ndo umeona ni wazo zuri?
Wanipe hata mim.. kuimanage TPA ni simple tu. Na sijui kwanin mnapenda kuwahusu watu wa nje na kujiunderestimate sisi wenyew.
Kiufupi, sisi tunafeli kwenye kuingiza siasa kwenye professionalism za watu. Ona sasa mbobezi Dr Matarajio katolewa TPDC, kawekwa sijui mtu gan. Pia tatizo lililopo kila kiongozi anawaza kupiga, kwasababu anajua kuna namna atalindwa
Mim hizi taasis zetu wangefanya haya yafuatayo tungepiga hatua parefu bila kushirikisha wazungu
1. Wakurugenzi wakuu au tuseme top leader wa taasis yeyote wapewe mkataba wa miaka 3.. 'renewable' kwa vipindi hata tano au zaid(yan yule mzuri aendelee kukaa hapo mda mrefu)
2. Yeyote atakapatikana na rushwa au ufisadi, taifisha mali zake zote, tusioneane huruma hata kama ni ndugu yako.. pia hata wakificha.. kbl ya kushika madaraka, andikisha mali hata za ndugu wawili, ndugu yao akifanya madudu hata mali zao zitaifishwe..
3. Tusioneane huruma hata kama kupitia huyo MD, wew una kamrija unapata.
4. Na mengineyo
Tukifanya hiv tutafika mbal bila hata hao wazungu mnaowahusu wakat elimu yao ndo hiohio tuliyonayo
Mim sikuzote ni mmojawapo ninaoamin hawa wazungu hawana kitu kutuzidi, nimeishi nao, nimesoma nao, nimekaa nao. Nashangaaga sana nikiona sehem mgeni mzungu anahusudiwa, wakat mwingine unakuta ni kilaza wa mwisho huko alikotoka, ila akija huku mnamnyenyekea. Dah, huzuni